Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

mm ni mhandisi wa mawasiliano, napenda sana nifanye biashara hizo lkn huo ni mtaji mkubwa sana.. huez anza hata na ofisi tuu kwa hizo pesa
Jifunze jinsi wafanyabiashara wa samaki mbichi sangara/sato hapo mwanza wanavyonunua kwa wavuvi direct na wanavyouza kwa suppliers wa mikoani.
Ikikuvutia unaeza ingia mzigoni unaeka vyeti pembeni.
 
Kama ni mgeni na biashara usifanye biashara anza na huduma kama ya chakula na juice au banda la mpira hutojutia ila biashara ina mambo mengi sana na ukizingatia mitaji yenyewe ni ya kudunduliza mi nilifungua banda la mpira ila kwa hyo hela kwa sport centre haitatosha jaribu kitu kingine positive.
 
Njoo kijana mwenzangu kwenye biashara ya mahindi utajutia mkuu.
 
Kama uliweza kutengeneza m3 mtaani komaa mtaani utengeneze tena tatu acha kuanza ishu mpya kama huna backup ya capital
 
Banda lako lipo wapi nije nipate ujuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…