mi nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol
hahHah niko carefulkuwa careful shostito mana kwenye kunenepa kama unaongezeka chini zaidi sawa,ila kama kitambi ndo kinazidi mhhh take it slow,
kama unakula mara 3 make it mara 4 au 5 milo midogo midogo,utagain weight kistaarabu kidogo
kuwa careful shostito mana kwenye kunenepa kama unaongezeka chini zaidi sawa
chini ndio wapi?
We kiazi kweli.
kitamu au mbatata?
chini ndio wapi?
Urefu na uzito wako wa sasa vipimo vyake ni vipi?[/Nina kilo 60 Urefu ni ft 5
uzito wako unaendana na urefu,
Jamani nataka ninenepe nile nini?
Kula chipsi kwa wingi...asubuhi, mchana, jioni kama dozi! Na vitu vya mafuta mafuta...kula jibini kula tende na maziwa (can't believe nakupa ushauri huu, udaktari ndio ushanishinda hivyoo!)kumbe tunaousaka unene tupo wengi.
mkuu MziziMkavu tupe tricks za mitishamba wadau tuwe vibonge dah kuwa kimbaumbau ni ni sheeedah
Jamani nataka ninenepe nile nini?
Kula chipsi kwa wingi...asubuhi, mchana, jioni kama dozi! Na vitu vya mafuta mafuta...kula jibini kula tende na maziwa (can't believe nakupa ushauri huu, udaktari ndio ushanishinda hivyoo!)
Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene
Sijui ni kwa nini unauliza dawa za kunenepa badala ya kuuliza njia zinazoweza kukufanya unenepe,kumbuka madawa yana side effects zake zinazoweza kuwa hatari pia kwa afya yako mfano kama unavyoona dawa za uzazi wa mpango.
Pia ni vema ukajua athari za unene kabla hujaanza kutumia siyo tu kwamba umbo lako litabadilika kabisa tofauti na ulivyo na unavyo tegemea mfano unataka unenepe kiasi ukajikuta umenenepeana nyama zinaning`inia tu lakini ujue unaanza kunyemelewa na magonjwa kama pressure nk.
Hata hivyo kuchagua kuwa mnene au mwembamba ni uamuzi wako binafsi,ila ningekushauri utumie njia za kawaida kuongeza unene kuliko madawa.Hata hivyo hatujui wembamba huo ni wa kuzaliwa nao,au unatokana na maradhi mwilini,au msongo wa mawazo.....ukishajua chanzo ni mwanzo wa kumaliza tatizo.
Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene
1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.
2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.
3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.
4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.
5.Punguza mawazo
6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage nk.
Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia
hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa
zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena
Mkuu