Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

Ushauri: Nile nini ili ninenepe?

mi nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol

kuwa careful shostito mana kwenye kunenepa kama unaongezeka chini zaidi sawa,ila kama kitambi ndo kinazidi mhhh take it slow,
kama unakula mara 3 make it mara 4 au 5 milo midogo midogo,utagain weight kistaarabu kidogo
 
hahHah niko careful
kitambi sina hataa niko flatiiii afu hata nikinenepa nanenepaga hips zaidi but tangu nianze chuo najihisi nazidi kuwa modo nitajaribu hiyo milo midogo midogo ahsante kwa ushauri
 
Jamani mimi nina urefu ft 5 na nusu ila nina kg 48 tu najitahidi kula sana lakini sioni mabadiliko kwakweli nishaurini tu nipo tayari hata kutumia dawa za kuongeza uzito kama zipo
 
#SIM kweli jtahd uongeze mwili,hata mie natafuta hko knachonenepesha,maana nipo karb na ww.
 
tumia bangi mkuu kabla ya kula piga paf za uhakika kisha andaa msos wa kutosha utanipa matokeo
 
kumbe tunaousaka unene tupo wengi.
mkuu MziziMkavu tupe tricks za mitishamba wadau tuwe vibonge dah kuwa kimbaumbau ni ni sheeedah
 
Last edited by a moderator:
Hapo zingatia haya.
1. Punguza mawazo, labda kuna mawazo ambayo unawaza na hujapata jibu sahh.
2. Kula vyakula vya kujenga mwili, mfano mayai kienyeji, nyama
3. Fanya mazoezi ya mwili,
ONYO: Usijiendekeze ukanenepa xana, utapatwa na magonjwa kama kisukari,moyo na presha.
 
Gonga lager na Mkuu wa meza utanona tu.....
 
Jamani nataka ninenepe nile nini?

kumbe tunaousaka unene tupo wengi.
mkuu MziziMkavu tupe tricks za mitishamba wadau tuwe vibonge dah kuwa kimbaumbau ni ni sheeedah
Kula chipsi kwa wingi...asubuhi, mchana, jioni kama dozi! Na vitu vya mafuta mafuta...kula jibini kula tende na maziwa (can't believe nakupa ushauri huu, udaktari ndio ushanishinda hivyoo!)

Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

Sijui ni kwa nini unauliza dawa za kunenepa badala ya kuuliza njia zinazoweza kukufanya unenepe,kumbuka madawa yana side effects zake zinazoweza kuwa hatari pia kwa afya yako mfano kama unavyoona dawa za uzazi wa mpango.

Pia ni vema ukajua athari za unene kabla hujaanza kutumia siyo tu kwamba umbo lako litabadilika kabisa tofauti na ulivyo na unavyo tegemea mfano unataka unenepe kiasi ukajikuta umenenepeana nyama zinaning`inia tu lakini ujue unaanza kunyemelewa na magonjwa kama pressure nk.

Hata hivyo kuchagua kuwa mnene au mwembamba ni uamuzi wako binafsi,ila ningekushauri utumie njia za kawaida kuongeza unene kuliko madawa.Hata hivyo hatujui wembamba huo ni wa kuzaliwa nao,au unatokana na maradhi mwilini,au msongo wa mawazo.....ukishajua chanzo ni mwanzo wa kumaliza tatizo.

1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.
2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.
3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.
4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.
5.Punguza mawazo
6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage nk.

Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena

Mkuu
 
Kuna Fovever living products za kusaidia kuongeza weight..kama unazihitaji njoo PM
 
Hii nayo kari wengine tunafanya mazoezi turudie miili yetu ya asili we unataka unenepe? ushauri mi nilikuwa mwembamba sana na watu walikuwa wakinitania kuwa hata nikinywa kilasiku dumu la mafuta siwezi kunenepa. ila sasa baada ya kuturia kutoka msongo wa maisha sasa nimenenepa, kilicho nitokea kwasasa ni kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kama zamani nilikuwa naenda shamba kwa Baiskeri sasa siwezi.nilicho kigu:ndua kunatofauti ya unene wa kuzariwa(mwili mkubwa) na unene wa kutafuta/kujawenyewe kama wangu na huo unao utafuta wewe.
 
Kula chipsi kwa wingi...asubuhi, mchana, jioni kama dozi! Na vitu vya mafuta mafuta...kula jibini kula tende na maziwa (can't believe nakupa ushauri huu, udaktari ndio ushanishinda hivyoo!)

Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

Sijui ni kwa nini unauliza dawa za kunenepa badala ya kuuliza njia zinazoweza kukufanya unenepe,kumbuka madawa yana side effects zake zinazoweza kuwa hatari pia kwa afya yako mfano kama unavyoona dawa za uzazi wa mpango.

Pia ni vema ukajua athari za unene kabla hujaanza kutumia siyo tu kwamba umbo lako litabadilika kabisa tofauti na ulivyo na unavyo tegemea mfano unataka unenepe kiasi ukajikuta umenenepeana nyama zinaning`inia tu lakini ujue unaanza kunyemelewa na magonjwa kama pressure nk.

Hata hivyo kuchagua kuwa mnene au mwembamba ni uamuzi wako binafsi,ila ningekushauri utumie njia za kawaida kuongeza unene kuliko madawa.Hata hivyo hatujui wembamba huo ni wa kuzaliwa nao,au unatokana na maradhi mwilini,au msongo wa mawazo.....ukishajua chanzo ni mwanzo wa kumaliza tatizo.

Njia zinazo weza kukusaidia kuongeza unene

1.Kula chakula cha kutosha kila unapokula halafu chenye mafuta mengi,chakula chenye wanga zaidi nk.
2.Usikae muda mrefu bila kula chakula,muda kabla ya mlo mwingine usizidi masaa 4 au 3 halafu ukipata msosi kandamiza sawasawa.
3.Achana na mazoezi hasa yale ya kukimbia.
4.Kula chakula kingi kabla ya kwenda kulala.
5.Punguza mawazo
6.Punguza kula mboga za majani na matunda badala yake kandamiza nyama,maharage nk.

Kutimia njia za kawaida ni bora kwa sababu ukiona uzito umezidi unaachana na njia

hizi lakini unene wa dawa wakati mwingine hata kama ukiacha kutumia zinakuwa

zimeathiri mfumo wa asili wa utendaji kazi wa mwili huenda ukashindwa kuzuia tena

Mkuu

hizi zitanifaa walau niongeze kahips jaman doooh ata skin jinz haikai kwakwel hapana... asante Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom