badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,112
mi nina futi tano na inch tatu uzito wa kilo 55 je vinaendana hata mi natamani kuwa bonge lol
kuwa careful shostito mana kwenye kunenepa kama unaongezeka chini zaidi sawa,ila kama kitambi ndo kinazidi mhhh take it slow,
kama unakula mara 3 make it mara 4 au 5 milo midogo midogo,utagain weight kistaarabu kidogo

