Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Kuna wengine ni tabia tu, wengine visasi, wengine ndiyo hivyo baba choka mbaya, kuna mzee kastaafu miaka ya karibuni, sasa ule utu uzima na mke ndiyo ana 40 40 hivi weee mwendo wa mateka mzee wawatu analalamika tu mkewe sio mwaminifu
Hivi unaanzaje kwanza kumpa papuchi mtu mwingine?.Mumeo anajivunia hiyo kitu mbele za wenzake,halafu wewe unampa mtu aisasambue kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.

From a Friend.
Mapovu ruksa jameni

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamishe kazi houseboy!

Kisha mpangishie chumba mbali na kwako! Mfano kama unakaa Tegeta mpangishie Mbagala rangi tatu! Mgharamie kila kitu!

Kisha mzengue mme wako! Kumzengua ni kujikasirisha tu hata akicheka unasema umenichoka mimi ni wa kunicheka, kisha unasepa zako na kihouseboy chako!

Angalizo kama wewe ni goli kipa jitahidi usifanye hivyo maisha yatakuwa magumu kuliko! Ukilowa chemsha maji kanda mzigo!


Kula erefu wa kamba yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine ni tabia tu, wengine visasi, wengine ndiyo hivyo baba choka mbaya, kuna mzee kastaafu miaka ya karibuni, sasa ule utu uzima na mke ndiyo ana 40 40 hivi weee mwendo wa mateka mzee wawatu analalamika tu mkewe sio mwaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaahaaaaaaa.Kwenye umri nasi tuwe makini.Matokeo yake ndio hayo.Haaaaahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujaipenda nini post yake?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Falaa tu huyuu... Anafanya wanawake waonekane malayaa na wahuni hadi watu wnaakata tamaa kuoaa..!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamaee zakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una 40 eti naoa saa 6, subili miaka 20 baadaye ukiwa na 60 naye ndiyo 40 mziki wake huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani hapo mwenzio anatamani kukunwa,wewe ndio kwanza unatamani mtengane sehemu ya kulala,wakati hiyo ni tabia ya akina mama pindi waifikiapo menopause.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom