Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

Vipi lakini hali yake inaendeleaje?
 
Alhamdullialah anaendelea vyema, shukrani kwa kutujali
It's my prayer apone mkaendelee na kupiga kilimo na shughuli nyingine za kimaendeleo.Kuna siku nitakuuliza maswala ya kilimo coz nilishawahi kufanya kilimo cha tikiti hapo awali.

1 Wakorintho 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi,isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu,Ila MUNGU ni mwaminifu ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo,lakini pamoja na hilo jaribu atafanya na mlango wa kutokea ili mweze kustahimili.
 
Mashamba ya kukodi zaidi yanapatikana mkoa wa Pwani, Mkuranga huko Kimanzichana japo kuna wazee wasumbufu wanaendekeza mambo ya "utamaduni" wakiona unapata mafanikio basi wanajua kuyafanya yafifie
Acha imani za hovyo!.
 
Karibu sana, nitakujibu kwa vile nilivyo na ufahamu navyo
 
Nataka kuleta nguo za mtumba za kike..vp huko mbeya?
 
Nahisi sio mzuri ka iyo avatar yako ndo mana.
 
ngoja jmosi nitazama huko asante sana kwa ushauri
Uwe makini, kuna matapeli pia. Wanakukodishia shamba ambalo hawamiliki , anakuzuga mnaandikishiana maandishi ya uongo halafu anaingia mitini. Siku ya siku mwenye shamba anatia tim, anakukuta uko bize na jembe lako unakomaa[emoji4] [emoji4] . Ni vizuri kuandikishiana kwa mjumbe ama serikali za mtaa( kiongozi anayetambulika awe shahidi kwenye zoezi la kuandikishiana)
 
Ukiomba ushauri kuwa muwazi.
Biashara yangu flani hivi...... kuna biashara nyingine nafatilia... Pengine ukitaja hizo biashara ni zipi utapata ushauri wa kina zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…