Mwanguku shabani
Member
- Sep 19, 2020
- 10
- 27
Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita, sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa.
Je hili likoje? Nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa huwa kinarudi tena hata bada ya miaka kadhaa, Je ni Kweli mtu akiwahi kuwa kichaa huwa hakiponi kabisa bali kinatulia hata miaka kadhaa halafu kinarudi?