Mwanguku shabani
Member
- Sep 19, 2020
- 10
- 27
Na unafuu huja kama atakuwa anatumia dawa regularly as adviced.Kuna msemo unasema;
"Kichaa haponi bali hupata nafuu tu"
Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita Sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa huwa kinarudi tena hata bada ya miaka kadhaa, Je ni Kweli mtu akiwahi kuwa kichaa huwa hakiponi kabisa bali kinatulia hata miaka kadhaa halafu kinarudi?
Yap vzr kujua chanzo cha tatizoAsilimia kubwa ya watu wanaugua kichaa mara moja au zaidi katika maisha yao...
Cha kuzingatia ni kujua ni tatizo gani la akili alilokua nalo na lilipatikana vp...
Inaweza kuwa cerebral malaria, depression, anxiety au shida nyingne ya kisaikolojia iliosababishwa na stress za maisha/mapenzi/masomo n.k ukamhukumu kumbe ilikua ishu ya mpito tu na haitarudi tena.
Jaribu kupata taarifa kutoka kwenye credible source then fanya maamuzi.
Pumbavu mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mim mwenyewe nlioa kichaa...siku moja naamka asubuhi najishtukia Nina kisu kimezama tumboni.... inshort sikufanikiwa kupona ila sasaivi nipo mbinguni Mungu Ni mwema
Chizi haponi, hutuliza mzuka tuKuna msemo unasema;
"Kichaa haponi bali hupata nafuu tu"