Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Chukua hili wazo.. Lina utaalam ndan yake manake akiacha tu anakutwa na madnesKikubwa msaidie kwenye matumizi ya dawa zake tu. Ugonjwa wa akili ni tatizo kama vile Malaria au UTI, utofauti lenyewe ni sugu na la muda mrefu.
Mkuu ni vzr kufanya utafiti , kama huyo ndugu yake yupo ni vzr kujua ni hospitali gani, hizi nyaraka huwa zinahifadhiwa kwenye kumbukumbukuKuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita Sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa huwa kinarudi tena hata bada ya miaka kadhaa, Je ni Kweli mtu akiwahi kuwa kichaa huwa hakiponi kabisa bali kinatulia hata miaka kadhaa halafu kinarudi?
Umeanza kuogopa nini ngosha,...." ....life spin in a very strange & mysterious orbit..... no one can guess exactly what/how his/her tomorrow gonna look/sound like....Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita Sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa huwa kinarudi tena hata bada ya miaka kadhaa, Je ni Kweli mtu akiwahi kuwa kichaa huwa hakiponi kabisa bali kinatulia hata miaka kadhaa halafu kinarudi?
Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita Sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa huwa kinarudi tena hata bada ya miaka kadhaa, Je ni Kweli mtu akiwahi kuwa kichaa huwa hakiponi kabisa bali kinatulia hata miaka kadhaa halafu kinarudi?
ππππNaona kuna watu wanafananisha ukichaa na malaria...
Endeleeni kumpa moyo mleta mada
Mleta maada jaribu kufuata ushauri wa huyu jamaa .Inategemea kilichomfanya apate ukichaa, Kama ni vitu Kama depression nk Hicho hakitarudi, lakini cha ukoo /kurithi ni Kimetulia tu Siku yoyote ataamsha