Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Imwase

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
500
Reaction score
506
Habari zenu wana JF,

Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.

Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.

Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.

Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
e88bf85a623157bfa9b5e80d09c881e5.jpg

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Una ndugu wa kike,i mean dada zako,mama yako mzazi au wadogo au ma mkubwa? Ongea nao watakusaidia ila kama uliwalea watoto kwa misingi ya ajabu(unawapa uhuru mwingi,pesa ndogo ya matumizi,hujali wanatatizo au hawana,unachelewa kurudi nyumbani) itakua kazi sana kumrudisha mstarini
 
CHUKUA USHAURI HUU
 
Shukrani mkuu.
mimi nimeanza kukaa nao mwezi wa sita mwaka huu.kabla ya hapo walikuwa wakikaa na mama yao.sasa sijui mama yao kama aliwapa uhuru wa kupita kiasi na inaonekana kama ilikuwa hivyo.
Nitafuata ushauri wako mkuu

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Habari zenu wana JF,

Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.

Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PTEGNANCY TEST) kilichotumika.

Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.

Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
e88bf85a623157bfa9b5e80d09c881e5.jpg

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Watu wakatili washakupigia

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu! mie nadhan ongea kwanza na mama yao umweleze!nae anaweza mwita ajue atamuingiaje! dah miaka 14 mbn bado katoto kbs! Ee Mungu muepushe mtoto huyu na mimba !
 
Hongera utapata via-uncle muda siyo mrefu.

Any way, anza kutafuta Karo ya private school maana mkuu ameisha sema yeye hasomeshi wazazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kiukweli mimi uwa sipendi UPEKUZI.MAANA UTAJIPA PRESHA.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu! mie nadhan ongea kwanza na mama yao umweleze!nae anaweza mwita ajue atamuingiaje! dah miaka 14 mbn bado katoto kbs! Ee Mungu muepushe mtoto huyu na mimba !
Tatizo sio mimba dada,tatizo kaanza mapema ule mchezo.ndo mzee anahuzunika.akifikiria MAGUFULI HASOMESHI WAZAZI.anazidi pagawa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....

Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia

Kuweni na adabu

Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kama wewe ni mtu ambae huwa unaweza ukakaa na mtu na ukaweza ukamshauri basi kaa na huyo binti, mueleze ni namna gani unavyoumia na hatari iliyopo mbele yake.

Usijaribu kupanic na kumpima mimba tena, achana nae kabisa ila kaa nae tu na kumshauri. Ikiwezekana ita hata baadhi ya ndugu ambao unajua wanaweza wakawa wanaheshimika na huyo binti.
 
Tatizo sio mimba dada,tatizo kaanza mapema ule mchezo.ndo mzee anahuzunika.akifikiria MAGUFULI HASOMESHI WAZAZI.anazidi pagawa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

naelewa lakin tusimuumize kihisia maana wote tunaelekea hukohuko!binafs nimeumia coz navyowish kuwa na mtoto wa kike...mie naomba asiwe amenasa!na wala asimuadhibu kwa mifimbo!inaumiza sana kwakweli!
 
Ndo ukome.... Na wewe uache peku peku kwenye vitu vya bint yako ukikuta naniii!?
 
Back
Top Bottom