Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Wajanja wameshapita hapo sana inaonesha..mkuu inaonesha suala la malezi hauko poa
 
unachanganyikiwa nini sasa ..... MTAFTE MHENGA ALIESEMA MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO
 
Habari zenu wana JF,

Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.

Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.

Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.

Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
e88bf85a623157bfa9b5e80d09c881e5.jpg



Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Idiot
 
Back
Top Bottom