Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha nimeipenda sentensi yako ya kuwa mtanzania. Kumbuka tu, hatusomeshi wazazi sisiHabari zenu wana JF,
Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.
Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.
Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.
Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
![]()
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Inawezekana walipewa somo la kujitambua shuleni; acha kupanicHabari zenu wana JF,
Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.
Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.
Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.
Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
![]()
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....
Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia
Kuweni na adabu
Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
Ndo ukome.... Na wewe uache peku peku kwenye vitu vya bint yako ukikuta naniii!?
Nakusubiri mkuu
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Ngoja baada ya miezi miwili, kama hajaanza kutapika, huyo mtoto peleka boarding ya girls...
Ni bora apate uhuru akiwa ameshamaliza sekondari... Ya huko mbele atajijua mwenyewe kwa kuwa atakuwa ameshakuwa mtu mzima...Halafu siku atakapopata uhuru huko mbele ni kama Simba Dume aliyefungiwa kwa wiki tatu no Msosi halafu kafunguliwa. Hatari sana
Mshauri ajitahidi hivyo hivyo, yaani kila akifanya awe anapima urine yake, ili kama kitu kikitiki mapema sana ajue ni namna gani ya kumwambia huyo bwanake na measure to take kabla wewe hijajua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Habari zenu wana JF,