Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio shida, unadhani kupiga ndio kumfunza?? kama hutaishi na mwanao kwa upendo lazima atoke akatafute comfort nje,Noted mkuu.
kwa kuniogopa ananiogopa sana kwa sababu ananijua nikimshika inakuwa issue nyingine ila ktk hili nikisema nimshike nadhani serikali inaweza kunifunga na ndo maana naona nisimuulize nimuache dada yangu labda na mama yake waongee nae.
Ila ushauri wako kwa kiasi kikubwa naukubali
Asante mkuu
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Ndio huwa na vichokonozi vya masikion pia.Pregnancy test inakaa kwenye pedi ?
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Ninavyofahamu mimi huwa kuna vile vipimo vya magonjwa ya ukeni ndo ambavyo vinakuja na pedi.Ndio huwa na vichokonozi vya masikion pia.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Shukrani mkuu.nitajitahidi kufanya hivyo,naomba MUNGU aniongoze vyemaOngea nae kwa upole umuelimishe madhara ya ngono za utotoni na zaidi umuhimu wa afya na elimu katika maisha yake.
Usione aibu kumkemea ,kwa sasa wewe ndo baba ndo mamaake usitegemee majirani au ndugu wakusaidie . Ni jukumu lako achana na mila za kizamani.
Kila la heriShukrani mkuu.nitajitahidi kufanya hivyo,naomba MUNGU aniongoze vyema
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Shukrani mkuu.nitajitahidi kufanya hivyo,naomba MUNGU aniongoze vyema
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Usikae kimya zungumza naye mapema maana ndiyo anaelekea ktk kipindi cha mihemuko ya kihisiaHabari zenu wana JF,
Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.
Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.
Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.
Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
![]()
Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....
Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia
Kuweni na adabu
Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
JF tuna watu wa ajabu sana, nashawishika kukubali kwamba tuna watoto wadogo humu jamvini, mzazi anaambiwa akome!! ati m mbea kufungua mkoba wa "mtoto" wake!? Yule mtoto bado mdogo yupo kwenye uangalizi wa wazazi 100% sioni kosa hapo, pia tukumbuke kwamba mzazi hapangiwi malezi ya mwanae, kaomba ushauri kama hakuna ushauri bas, sii "kumtukana"Ndo ukome.... Na wewe uache peku peku kwenye vitu vya bint yako ukikuta naniii!?