Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Una ndugu wa kike,i mean dada zako,mama yako mzazi au wadogo au ma mkubwa? Ongea nao watakusaidia ila kama uliwalea watoto kwa misingi ya ajabu(unawapa uhuru mwingi,pesa ndogo ya matumizi,hujali wanatatizo au hawana,unachelewa kurudi nyumbani) itakua kazi sana kumrudisha mstarini
Umemshauri vema..nadhani ataufuata
 
tatizo hawa watoto wa kike huwa wanaogopa sana mimba na mara nyingi hukimbilia kuitoa sawa mimba umetoa ukimwi nao utaenda kutoa?
 
aise pole saaana, issue sio mimba tuh kuna STD's mkuu, Mungu hamuepushie mbali saana, hebu leo kua baba msubiri binti akirudi ongea nae friendly, hakuna cha aibu hapo ndo wazazi wengi wanapigwa bao, ongea nae funguka 14yrs huyo ni mkubwa saana. ongea nae wakina mama kuongea nae watazingua be a man ila pole saana
 
Habari zenu wana JF,

Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi mwenyewe na sina mke kwa sasa.

Leo hii asubuhi naingia chumbani kwake nakuta kimkoba kidogo kitandani kwake na nashawishika kukifungua. Napata mshtuko wa mwaka nakuta kikaratasi cha (URINE PREGNANCY TEST) kilichotumika.

Nimechanganyikiwa sijui niongee nae nini.

Naombeni ushauri wana jamii na wazazi wenzangu, 14yrs?
e88bf85a623157bfa9b5e80d09c881e5.jpg



Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Mzee/Baba mtoto ww unachanganyikiwa nn ikiwa binti yako amevunja ungo na anajitambua mpaka anapima mimba kama iliingia!
Ww endelea kushangaa laiti kama angelikuwa hajui maswala ya kunasa mimba, ww mapema tu ungelilea mjukuu pamoja na hao watoto ulioachiwa na mkeo.
 
tatizo hawa watoto wa kike huwa wanaogopa sana mimba na mara nyingi hukimbilia kuitoa sawa mimba umetoa ukimwi nao utaenda kutoa?
ndo nasema hawe baba wakizungu aonge nae mtoto maswala ya yote ya kujamiana na adhari zake na dogo hakampime yani hamtishie hata picha nne tatu za watu wa ngoma dogo akili itaruka huyo, na hayo ndo matatizo ya malezi ya watoto kutengana kwa wazazi balaaa hilo.
 
Huwezi kusema arudishe mke walee watoto wakati hujui ni nini kimewatenganisha. Kuishi kwenye ndoa isiyo na afya haipendezi, kuna wakati inabidi tu kutengana. Wazazi wakiweka mawazo yao kwa watoto hata kama hawaishi wote mambo yanaenda sawa.
Basi kama sababu ndiyo hyo mleta thread awe mpole huku akisubiria kulea mjukuu asiye na baba....

Kabla ya kuoa kuna hatua mnapitia
1)Mapenzi
2)Uchumba
3)Ndoa

Inamaana kwenye hizo hatua hawakuwa wakichunguzana kama tabia? Ukiona kaoa ujue wameridhika na tabia za pande zote mbili...

Mtoto hawezi kukua kwa malezi ya upande mmoja tu,

Hapo jamaa anatengeneza bomb la nuclear siku lita lipuka na madhara yake ni sawa na Iroshima
 
Ashatolewa BK huyo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Pole sana Kaka mkubwa kwa mtihani wa namna hiyo maana watoto wa sikuhizi hawasikii la mnadi swala wala la muadhin. My take ktk hili ni kwamba waite ndugu zako wa kike ili wakae nae private ili waongee nae na wewe usipanik kwanza kwa hicho ulichokiona chumba ni kwake. Baada ya mazungumzo yao wewe utapata marejesho kama mwanao ndio matured kwenye hayo mambo au laa. Lakini pia mimi ni mwl psychologically teachers are likely to notes the change ya mtoto wako mapema kuliko mzazi. Kwahio shule nako itabidi UMUONE mwl wa malezi akusaidie. Ushauri tu huu.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana Kaka mkubwa kwa mtihani wa namna hiyo maana watoto wa sikuhizi hawasikii la mnadi swala wala la muadhin. My take ktk hili ni kwamba waite ndugu zako wa kike ili wakae nae private ili waongee nae na wewe usipanik kwanza kwa hicho ulichokiona chumba ni kwake. Baada ya mazungumzo yao wewe utapata marejesho kama mwanao ndio matured kwenye hayo mambo au laa. Lakini pia mimi ni mwl psychologically teachers are likely to notes the change ya mtoto wako mapema kuliko mzazi. Kwahio shule nako itabidi UMUONE mwl wa malezi akusaidie. Ushauri tu huu.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
kuongea na mwalimu ata mchoma bure na asaivi raisi ndo kasha waka suala hilo, na walimu wasikuizi wapenda sifa ata mpiga picha nakusambaza whatsapp. hapo kwanza nikujua je mimba hipo au laaah maana kukutwa na bangi sio maana yake kua unavuta bangi so issue ya kwanza kujua hipo au la??? ya pili kikao na wewe baba ukiwepo muonge na binti yenu live tatu follow ups za nguvu full kufatilia hapo.
 
Muulize tuu coz kwa baadhi ya shule kuna utaratibu wa kupima mimba kwa wanafunzi wa kike

Ila cjui kama huwa wanaondoka na vitu kama hivyo

My stand : usi panic take action mweke chini ajue msimamo wa mzee

Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
 
pole sana mkuu! mie nadhan ongea kwanza na mama yao umweleze!nae anaweza mwita ajue atamuingiaje! dah miaka 14 mbn bado katoto kbs! Ee Mungu muepushe mtoto huyu na mimba !
Wewe unasema amuepushe na mimba!! Omba amuepushe na maradhi kama HIV. Balaa zaidi Mimba na HIV kwa pamoja.
 
We no mwanamke au mwanaume. Unatafuta nn kwenye mkoba usio wako.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Ndo ukome.... Na wewe uache peku peku kwenye vitu vya bint yako ukikuta naniii!?
Nyie mmeshawahi kuwa wazazi? Some things you just ignore kama yamekuzidi, kama hujawa mzazi huwezi kuelewa mleta mada anamaanisha nini. As a parent, tena single parent ni muhimu sana kujua nyendo za mtoto.

I bet you guys are still teenagers.
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....

Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia

Kuweni na adabu

Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app
 
Kesho asbh nitaenda shuleni kwake.Napata hofu sana alafu yeye ndo mtoto wangu wa kwanza,yaani ni mtihani

Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
Aisee kwanza pole sana mkuuu kwa yaliyokukuta...
Wewe kama mzazi sioni kosa la wewe kumpekua binti yako ukizingatia bado mdogo na yuko chini ya himaya yako..mana bila kufanya hivyo usingeyajua haya mapema.
Sasa mi nafikiri kwanza ni kumweleza ukweli tuuu wewe mwenyewe ili aweze jua kwamba ilo swala limekukera(kiboko hakiepukiki ila be smart) na ambainishe muhusika ila hii itawezekana kama ni muoga na hajawa kigagula katika hiyo michezo, ikishindikana msongeshe polisi atamtaja tuu...
Hizi habari kwamba sijui jenga nae urafiki sijui fanya nn huu sio wakati wake mana bond ya mtoto na mzazi hujengwa toka akiwa mdogo..huwezi Sema kwenye miaka 14 eti ndo ujenge bond tena kwenye scenario kama hiyo wakati mwenyewe ameshaandaa majibu kukufix...
Kwenda kwa walimu ni muhimu sana,ila sasa je unaushirikiano kiasi gani na hao walimu..mana kama ni mzazi ambaye haujawahi huzulia hata vikao vya wazazi au haujawahi hata kwenda kuulizia maendeleo ya mwanao unafikiri watakuchukuliaje??labda kama ni shule za binafsi lakini huku kwa Magu tulipo sisi na hasira za huuu usawa...tutaipokea hiyo case na kutupia kapuni mana tunakuaona we sio mshirika mzuri wa mambo ya shule ila shida ndo zimekuleta..so take note ya hilo.
Mwisho trace back malezi ya mwanao kwa kipindi amekaa na mama yake yalikuwaje au mama anatabia gani mana mwisho wa siku Tabia za mtoto wa kike 90 zinategemea na tabia ya mama ikoje...



Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom