tokenring
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 317
- 612
Mkuu nianze kwa kukukupa pole. Hapo mtoto tayari ashakua sasa hivi na yeye gegedwa cha kufanya mshushie kipondo kwanza ajue umechukizwa pili ongea naye umueleze hasara za hicho alichoanza kukifanya pia umueleze msimamo wako nn utamfanya akipata madhira yoyote kuhusu mambo anayoyafanya. Huyo binti bado mdogo sana unaweza kumrudisha kwenye mstari ila ukitumia njia za udigitally eti kuongea naye tu kama rafiki bila kumrudi kwa viboko sidhani kama utapata matokeo chanya. Kwa mtazamo wangu mm lazima umfanye ajutie alichofanya na kuogopa kurudia tena hii itamfanya awe makini.