Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Hakika suala la kutengana wazazi huwa ni baya sana, wakati mna ugomvi na ligi za hapa na pale huwa tunakuwa watemi sana kila mtu mbabe kuwa kama vipi tuachane usinitishe nk, ila matokeo yake huwa sio chanya kabisa yaani. Kuna kipindi katika mahusiano swala la kuwa right unatakiwa ulifanye second, kuna kipindi tunatakiwa kuacha baadhi ya mambo yapite hata kama tunaamini 'we are right'. Sisemi wewe una makosa wala sisemi mkeo ana makosa, nachosema mlikosea sana kuachana. Haya huwa ndio matokeo yake.
Kwa sasa mkuu chukua tahadhari sana. Hiyo ya kujipima mimba ni moja tu ya mengi yaliyojificha. Kwa imani ya dini yako funga na kusali. Watoto wakianzaga huu ujinga inakuwa tabu sana. Jaribu kuongea nae (Ikiwa unaamini una urafiki nae) kama hamna urafiki kati yako na watoto jaribu kutafuta watu waongee nae.
Pole mkuu.