Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

kweli .... ha ha ha! pagumu sana hapo ndugu. Pana mambo mengi sana sana sana! ni ngumu sana mie kushauri.
 
Miaka 14 ni mtoto mdogo sana vinginevyo awe wa pande zile za akina nshomireee
 
Umezidi umbea baba lazma uwe na adabu uwez kufungua mikoba ya mwanao....

Mm uyo dada angu tu au mtoto wa kike siwwz kufungua vitu vyako hata chumban kwake kuingia

Kuweni na adabu

Sent from my SHV-E275S using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kiukweli mimi uwa sipendi UPEKUZI.MAANA UTAJIPA PRESHA.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
itakuwa nyinyi ni vitoto vya secondari
hivi mnajua kuwa MZAZI NI MCHUNGA NA KILA MCHUNGA ATAULIZWA KUHUSU ALOWACHUNGA

mimi ushauri wangu first nenda polisi ongea na maafande vizuri hasa wakike kwanza apewe kibano akitaja anaemfanya kamata then utajua mwenyewe mtavyomalizana pengine utakuta mtuu mzima kabisa heli awe wa rika lake kidogo unaweza sema barehe zinawachanganya kuliko ukute anaemuharibu ni mtu mzima na midevu yake then nenda school kwake ongea na ticha wa nidhamu kirafiki amuadabisge na kibano huko kinaendelea wasichana wakishaanza kubanduliwa umri huo busara hazisaidii tena zaidi ya utemi tuu mm nawaambia nina uzoefu na wadogo zangu walikuwa wanaleta ukauzu km huo baada hapo heshima na adabu hakuna siasa katika mambo km hayo ni vipigo tu wasichana wanaogopa mzazi mkali sio hayo mambo ya urafiki eti kuwalea kizungu kuongea nao kiurafiki eti usimfatilie ni ujinga mwisho utalea wajukuu mkuu
 
Miaka 14 ni mtoto mdogo sana vinginevyo awe wa pande zile za akina nshomireee

hahahahaa au 'wahlouguhruh'!wale bwna hapana jaman miaka 11 ana mtoto tena wazaz hawana shidaaaaaaaaa!
 
itakuwa nyinyi ni vitoto vya secondari
hivi mnajua kuwa MZAZI NI MCHUNGA NA KILA MCHUNGA ATAULIZWA KUHUSU ALOWACHUNGA

mimi ushauri wangu first nenda polisi ongea na maafande vizuri hasa wakike kwanza apewe kibano akitaja anaemfanya kamata then utajua mwenyewe mtavyomalizana pengine utakuta mtuu mzima kabisa heli awe wa rika kidogo unaweza srma barehe zinawachanganya kuliko ukute anaemuharibu muendesha ni mtu mzima na midevu yake then nenda school kwake ongea na ticha wa nidhamu kirafiki amuadabisge na kibano huko kinaendelea wasichana wakishaanza kubanduliwa umri huo busara hazisaidii tena zaidi ya utemi tuu mm nawaambia nina uzoefu na wadogo zangu walikuwa wanaleta ukauzu km huo baada hapo heshima na adabu hakuna siasa katika mambo km hayo ni vipigo tu wasichana wanaogopa mzazi mkali sio hayo mambo ya urafiki eti kuwalea kizungu kuongea nao kiurafiki eti usimfatilie ni ujinga mwisho utalea wajukuu mkuu

kama nakuunga mkono
 
Hilo karatasi ni ushahidi kwamba mtoto anajihusisha kwenye ngono zembe. Tumia ndugu wa kike hasa Shangazi kama wapo wamu interrogate. Pole sana

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Lakini wanaume jamani, sasa mtoto wa miaka 14 unaweza vipi kumuomba penzi?
Mie nakushauri uachane na mila za kikwetu eti baba hawezi kuongea na mtoto wake wa kike, nakushauri upunguze hasira, ongea naye, mwambie madhara ya kufanya ngono utotoni tena ngono zembe, kama una mifano ya watu waliokufa kwa ukimwi mwambie, pia mwambie kuhusu rais alivyosema watoto wakipata mimba wasiendelee na shule, ila yote kwa yote ongea naye "friendly" tawala hasira zako.
 
Je ungekuta condoms ama pedi ilio tumika ingekuaje....[emoji15] [emoji15]
Hii kwahakika haipendezi sisi wababa kukagua vitu vya mabinti zetu.... Haya sasa, anza kutafuta mke ili akusaidie kukulelea binti yako na kumuelimisha kuhusu usichana wake.
Ukiona ngumu, mrudishe akalelewe na mama yake
 
kwa generation hii mie namuunga mkono! hawana adabu hawa kutwa kunyoa viduku! mie smtymz napandwa hasira ova wangu!akague tu aic
 
Je ungekuta condoms ama pedi ilio tumika ingekuaje....[emoji15] [emoji15]
Hii kwahakika haipendezi sisi wababa kukagua vitu vya mabinti zetu.... Haya sasa, anza kutafuta mke ili akusaidie kukulelea binti yako na kumuelimisha kuhusu usichana wake.
Ukiona ngumu, mrudishe akalelewe na mama yake

dah!yatakufika tu mkuu!
 
dah!yatakufika tu mkuu!
Mkuu....
Hili sio la kunifika, na kwataarifa tu nami ni mzazi, tena nina binti anae elekea kulingana umri sawa na huyu alie tajwa.
Tatizo sisi kama wazazi hatuwajibiki kikamilifu kwenye kuwalea watoto na kuwafundisha maadili.
Kijana wangu aliwahi kunijia amenyoa kininini sijui wanaita wenyewe....... Hakika aliisoma namba kwa bakora zile, na bilashaka amekwisha tambua kwamba baba hapendi nini.
Pia nilipoanza kumuona binti yangu kama anaelekea kujipenda na kuanza kuoga akitaka asionekane....... Hapo nilichukua tahadhari na nilifanya niwezavyo hata nikampata mama ambae leo ndie mlezi wao.
 
hhaaa haya bwana!we jisifu tu hapa
 
hhaaa haya bwana!we jisifu tu hapa
Sina ninacho jisifia Mkuu......
Hapa tunapeana mbinu na kikubwa ni kuchukua tahadhari mapema, hasa mabazazi wenzangu chindechonde.........
Pia kumbuka, hakuna mjanja kwenye malezi zaidi ya kama mzazi ni lazima kutimiza wajibu wa malezi kwa watoto, na sio kulalamika
 
Elewa kwamba wakwe wapo karibu!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Ongea nae tena bila kumkaripia kuwa kama maongezi ya marafiki wawili, utakalo mshauri atakuelewa na kuyafata.

Ukileta ya kupiga kelele na viboko juu subiri kuletewa mjukuuu.

Kwa watoto kuna kipindi inabidi ujishushe tu kuwaelewesha mambo na ubadili unavyoishi nao na angalia marafiki zake anza kumchunguza kiuzaidi kisirisiri.

Kama una computer nyumbani basi ingia whatsapp web lazima kama ana smartphone atakuwa naitumia hiyo na uwe unasoma akishasoma yeye na kuwa makini kwenda off line ukishafungua messages kusoma.

Pole ila kuwa rafiki wa watoto wako, jitahidi upo mwenyewe. Maana utakachoambiwa ni huwezi malezi.
 
itakuwa nyinyi ni vitoto vya secondari
hivi mnajua kuwa MZAZI NI MCHUNGA NA KILA MCHUNGA ATAULIZWA KUHUSU ALOWACHUNGA

mimi ushauri wangu first nenda polisi ongea na maafande vizuri hasa wakike kwanza apewe kibano akitaja anaemfanya kamata then utajua mwenyewe mtavyomalizana pengine utakuta mtuu mzima kabisa heli awe wa rika lake kidogo unaweza sema barehe zinawachanganya kuliko ukute anaemuharibu ni mtu mzima na midevu yake then nenda school kwake ongea na ticha wa nidhamu kirafiki amuadabisge na kibano huko kinaendelea wasichana wakishaanza kubanduliwa umri huo busara hazisaidii tena zaidi ya utemi tuu mm nawaambia nina uzoefu na wadogo zangu walikuwa wanaleta ukauzu km huo baada hapo heshima na adabu hakuna siasa katika mambo km hayo ni vipigo tu wasichana wanaogopa mzazi mkali sio hayo mambo ya urafiki eti kuwalea kizungu kuongea nao kiurafiki eti usimfatilie ni ujinga mwisho utalea wajukuu mkuu

Ningekuwa ni mimi ningefuata ushauri huu.

Maana unaweza kuta rafiki yako ndiye anamkanyaga mwanao.
 
Ukiona. Manyoya ujue kaliwa

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwa nini watu wanapenda papuchi za binti wadogo.

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom