- Thread starter
- #21
Nikifikiria zaidi kusambaza Mchele sababu najua unapopatikana kwa bei rahisi lakini nikaja kufanya research nikagundua shule nying iwe serikali iwe private inahitaji maharage kwa wing kuliko Mchele wala Unga! Lakini wa hii 2M yangu nilitaka kuomba tenda kwa hizi private school!, kwa Mchele sana sana Ila na doubt! So kwa hizo private ndo sijajua ulipaji wao upoje?Ngoja nikusaidie kupunguza options hizo ulizoweka.
Kwa uzoefu wangu kusambaza bidhaa kwa taasisi hasa za serikali unapaswa uwe na capital kubwa kwasababu serikali inalipa baada ya muda mrefu kidogo. Nina experience na wazabuni wanavyozidai taasisi za umma japo wanapata faida kubwa kwa kuuza bei ya juu kuliko uhalisia.
Kwa kua ndio unajitafuta hiyo option 2 itakusumbua Otherwise hizo shule na taasisi ziwe private.
Nimesoma shule private mwaka 2014 tulikua tunakula maharage yaliyobunguliwa, Unga sometimes ulikuwa umeoza
nilipo ingia advance ndo kabsa maharage yale yenye wadudu ndo maana nimetamani hii business, no 2.
Asante kwa mawazo pia