Hata ukisema umpige ama kumuadhibu haitomfanya aache kama keshajua utamu wake, cha zaidi ndio utamhamasisha afanye zaidi, kuna kitu wazungu husema 'thrill of the illicit'.
Ni wazi kapevuka kiasi cha kuelewa utamu wa puchu. Hapo kubwa la kufanya ni kukaa nae chini na kumueleza athari ya hicho kitendo anachofanya, ikiwezekana umuonyeshe hata articles za mitandaoni zinazoonyesha madhara ya kujichua.
Adhabu pekee unayoweza kumpa kwa sasa ni ku limit muda wake wa bafuni na kumpiga marufuku kujifungia kwa ndani chumbani. Hii itamuweka katika watch out ya kutofanya mchezo wake kwa uhuru.
On the brighter side, shukuru Mungu umemkuta akifanya anachofanya kuliko kumkuta akifanya vitendo vya kinyume na maumbile yake maana kwa dunia ya leo utandawazi umeharibu watoto hasa wa kiume.