USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

Huyo ndo keshaanza na hakuna namna ya kumzuia. Nadhan hata mimi nimeanza nyeto around that Age. Hadi leo.
 
Mchunguze Vizuri Kama hajaanza kugeuzwa na wenzie
Ufirauni Umetapakaa kila pahala
 
Unataka atoe maelezo gani kwa mfano?

Mhimize shule na afanye mazoezi.,na kazi za nyumbani
 
Junior Kama junior wa St. English Medium
 
Amejifunzia boarding. Mweleze kwa utaratibu madhara YOOOTE ya kujichua.

Mshauri ajitahidi kuacha. Mwambie kila baada ya siku tatu aje akweleze kama amefaulu kuacha. Mwambie ajaribu kuacha, ataweza tu
 
Ila hiyo ni nafuu kuliko kuwa na visichana vingi vya kimuambukiza magonjwa. Mkalishe siku Moja umpe athari zake
 
Dogo anaepukana na vishawishi siku hizi magonjwa mengi sana mwache ajimwayemwaye
 
Dah dogo kawahi mno aisee mungu amsimamie laa sivyo akifika 27 itakua haisimami kabisa
 
Mwanachama chipukizi, hapo mkuu ushauri wangu hakikisha dogo anakula vizuri, kisha awe anajichanganya na watu.

Ila dogo ka advance mapema sana 😂😂
 
Huyo anapata kifungua kinywa
 
. Nanakazia sex i.e male and female na sio gender maana gender ni social construct ambayo utafiti wake ulifeli miaka ya 1950s to 1980s lakini bado wazungu waliilazimisha kwamakusudi na hata waliofanyiwa huo utafiti walikuja kujiua.
.
I want to know about this, tell me what to search
 
Wengine miaka kumi tulikuwa tunachezea matope na michanga,
Miaka kumi wa siku hizi👇
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…