Ushauri: Nimeokota wallet yenye Tsh. 50,000 pamoja na risiti za miamala ya pesa nyingi nahofia kurudisha nahisi naweza bambikiwa kesi

Ushauri: Nimeokota wallet yenye Tsh. 50,000 pamoja na risiti za miamala ya pesa nyingi nahofia kurudisha nahisi naweza bambikiwa kesi

Yaani elfu 50 ni kubahatika!!!!! Watu mna roho ngumu. Ingekuwa hata hela unayoweza kununua jumba sawa. Hiyo ukipanda daladala masaa mawili imeisha!!!

Siku za nyuma mtu alikosea akatuma laki moja kwenye namba yangu. Nikiangalia,namba ni ngeni. Nikajiuliza nani huyu ananipa hela ya siku kuu, na nilivyopinda hivi. Sikuitoa. Baada ya kama nusu saa, akapiga mdada, anaomba samahani, na kwamba alikuwa anamtumia mama yake mzazi hela ya siku kuu. Akaomba nikate 20k basi nimrudishie 80k. Nikafanya hivo. Badae roho ikakataa. Hii pesa si harari yangu, hujui kaipatapataje, na yenyewe nikamtumia. Hakuamini. Hatufahamiani, ila sometimes salamu salamu.

Kuna vitu vingine ni vidogo siyo vya kukushushia hadhi, na wakati mwingine unaweza kukuta kitu kidogo kama hicho kimekufungulia mlango.
Sawa mkuu
 
Comments za uzi huu zinaonyesha dhahiri watanzania wengi siyo waaminifu.
Wengi mmetoa ushauri jamaa atafune alfu 50 ya watu.
Watanzania hawa ndiyo wanaomtukana Mwigulu na wengine kama yeye kwa ufisadi.
Sipati picha mkibahatika kupata teuzi kwenye maeneo nyeti.
 
Mkuu Dunia ya Sasa n kipengele mm nishawai okota simu M2 na point ivi nilikua bakula urabu bar Moja ya jeshi sa Moja usiku mezani nikakuta sim nikaichukua nikaiweka mfukoni mana pale caunta hakuna nilie mwamini sababu pale najulikana na kila mmoja nikasema kesho asubui nikipata nafas nitaipitisha pale nisipo pata watanitafuta mana wananijua mdau mkubwa TU pale,bas baada ya siku 2 nimapigiwa sim na soujer mmoja kuniuliza kama niliiona sim wakat napata vitu vyangu akasema namba zangu ameomba Kwa rafiki zangu,nikamwambia ndio nimeona na Niko nayo basi nikawapelekea Ile sim na sababu sikuwaonesha usumbufu wwte wale soujer wakasema hii sim kesi IPO police ivyo inabid ukaikabidhi uko alafu wananiangalia usoni nitajibuje,nikawaambia dawa Haina shida,basi nikatoka pale na matron 2 mmoja n mwanasheria utata ukaja tulipo fika police nikaambiwa sim nimeiba,isinge kua kujiamin na kujieleza vyema ningebak pale baada ya mahojiano ndo ikaonekana yeye mwenye sim aliisahau mm ndo kuikuta na hapo Bado wale matron wa jeshi walikua upande wangu la sivyo kingenilamba kitu mana yule mama Alie poteza sim alikua na pesa za kutosha,ivyo wema unakuaga ajali na ndo mana watu now wakiokota vitu wanapata wasi was kurejesha Kwa mwenyewe.

Ni mkasa mrefu kungekua na sehem ya Kutuma voice note ningetuma ila naomba niishie Apa🙏🏽
 
Pole sana, ila nashangazwa wanaomshauri huyu jamaa hapa,
Wengi wao wanamwambia atafune hiyo alfu 50.
Huoni kama tunaanza kufundishana wizi?
 
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.

Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!

Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.

Naombeni ushauri.
Tupa hilo wallet tumia hako ka elfu hamsini ulikojipatia mkuu la sivyo utajutia
 
Pole sana, ila nashangazwa wanaomshauri huyu jamaa hapa,
Wengi wao wanamwambia atafune hiyo alfu 50.
Huoni kama tunaanza kufundishana wizi?
Huu ni wiz kwel mkuu ila some time kurudisha nako majanga ,Nina mkasa mwingine wakat nafanya Kaz hospital miaka 2 nyuma Kuna jamaa alipata ajali n mfanya biashara wa kuku boda alimwokota na kujitolea kumleta hospital yule majeruhi bas bwana kilicho tokea Kwa boda yule aliambiwa amechukua pesa za majeruhi Na imapigwa sim Kwa askar wa hospital jamaa alijitetea sana kwamba Ile pesa n zake za boda mana hua anakesha night alikua na pesa kama za siku 2 ila zikabebwa zote na kupewa majeruhi ila Kuna nes mtu mzima alimwita pemben alimpa pole Kwa tukio Lile na kumwambia naomba uende na roho iyo iyo ya kujitolea kutoa msaada Kwa walio kua na uhitaji japo amepoteza pesa zake
 
Jeshi la polisi lijitafakari sana,comments nyingi humu,watu hawana imani nalo kabisa .
 
Utotoni tulikua tukiimba".Cha kuokota sio Cha kuiba,mwenye Mali ndio mjinga".
Kanywe bia mkuu
Kumbe ndipo ufisafi ulivyoanza...Unawezaje kuhalalisha Mali ambayo siyo yako kuwa ni yako?

Hakuna jamii duniani ambayo haijui kuiba ni dhambi, ni pamoja na hiyo kuokota, unatakiwa upeleke sehemu ambayo mwenye Mali ataipata bila kukwama
 
Shida unaweza tenda wema ukaishia kuumia salama kuipeleka police but itategemea na busara ya askari mwenyewe
Ndomana watu wengi wakiokota v8tu au kuona jambo fulani haqaende polisi
Maana polisi wa tz wana ujinga mwingi wanaweza kuweka ndani wakaanza na wewe

Ova
 
Sasa elfu hamsini si hela ya lunch tu,chukua hiyo acha hizo risiti hapo
 
Back
Top Bottom