Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Zinasaidia nn?Ungekuwa Me ningesema kila ukimaliza meza pilton 1 au 2 lakn kwa Ke sijui labda na we jaribu hizo pilton zitasaidia.
Dharra toa maelezo vzr...walimfanyia surgery ya nini?ni tatizo kubwa kuliko unavyodhani na sasa kuna ulazima wa kuanza kusaka matibabu seriously. Tafuta doctor husika, namjua mdada mmoja yeye ilikuwa akiguswa tu na mwanaume hata kwa bahati mbaya tayari mzuka unampanda alienda south africa kufanyiwa surgery sasa yupo ok. Tafuta matibabu mamii wewe ni mgonjwa.
Sawa atunze siri halafu atabakia na maumivu mpaka lini? Kama we ni Me unajua ni kiasi gani mshipa ukisimama unakosa ustaarabu kiasi hata akipita kichaa unaweza muona Mrembo, vipi usitambue kuwa hamu unayoipata ndiyo yampata huyu kiumbe wa kike?Babe....
Dunia inabadilika kwa mwendo wa kasi zaidi ya Standard Gauge.
Yaani nashangaa jinsi wamama walivyo kosa aibu na maadili ya kuitunza siri kama wamama wa nyumba
HabariAisee we mrembo huwa ata Nashindwa kusema la moyoni ujue
Kwa uelewa wangu hornet ni aina ya insect wanaouma kama nyuki na wengineo.Tatizo liko hapo mwanzo kwenye jina lako
Sio kila mwanamke afaa kuwa Mama.... Na sii kila Mama afaa kuitwa Mama!!!!Babe....
Dunia inabadilika kwa mwendo wa kasi zaidi ya Standard Gauge.
Yaani nashangaa jinsi wamama walivyo kosa aibu na maadili ya kuitunza siri kama wamama wa nyumba
Sasa nsemeje Mkuu, kuna mengine ni miujiza ujueHapa mungu hauusiki
Mwenyewe naona miujiza MkuuMsaidien mwanamke mwenzenu.
Ila nmebaki kusikitika tu.