Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
if i could turn back the hands of time...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa bigbooty hukupita kweli dukani kwetu pale? sister yetu pj ana bonge la msambwandaif i could turn back the hands of time...........View attachment 1568375
Ooo Kumbe Wewe Humjui mtu nje ya JF eee?hongera ila ujue hiyo ni CHAIN...huwenda nyororo la JF limefika mpaka Shanghai😂😂
Gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo🎼Mkuu Hazard CFC kwema?
We jamaa... unajua kashaabdika confesion ya hii kitu..!!Endelea kucheat , nadhani una nyota ya ngoma wewe
Mna muda aiseeHuyu Hazard CFC nae yupo gredi ya taifa, nawakumbusha vijana wengi wa humu muwe makini kwa tathimini nilizofanya naona humu ndani kuna kundi kubwa sana la vijana (ME na KE) wameungua. Ukimwi upo na unaua
Aisee anyways kila mmoja awaze anachowazaHaya Sasa Wale Mabazazi Wa zile PM nyenyenyee Mnazikumbuka eee?!!!
Wajaa laana mmeona Sasa mmeshamuongezea mwenzenu Alama ya Jumlisha Katika Majibu Ya Juzi?!!!!
Maskini Shem Wangu kwa Hornet....Ila yote ni mipango ya MUNGU Mana asingemuumba na NYMPHOMANIA Leo Wala Majibu Yasingekuwa Hivyo.....
Pole Sana Dada Hornet ila ninasikia eti Njugu zinaongeza Sana nanihiii....Sasa nawe ndo nymphomania...sijui itakuwaje?!!!
Looh...Mungu Akusaidie Aaamin!!
Umekuwa so concernedPole yake huko alipo ila anaweza kwenda kwenye kituo chochote cha afya akapima hii itamsaidia kujua afya yake ipoje akiwa negative atachukua tahadhari ila akiwa positive ajue kuna mbaazi zinamhusu mpaka anaingia kaburini. Maana unaweza shiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye ni positive na usipate kimbembe kinakuja kama huyu Hazard CFC kalala na huyu mwanamke zaidi ya mara moja uwezo wa kuwa ameungua ni 99% hiyo moja amuachie Mungu.
Na wewe umekuwa mnaa[emoji23][emoji23]Wakuu naona mnajadili Hazard CFC kimzaha, hili sio jambo la kuvutia badala yake tumtie moyo kwani hili jambo linahatarisha uhsi wake.
kama ushaanza masturbation trust me huwez ponaYaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Bila shaka umepitamo na wewe 😄Mzee wa bigbooty hukupita kweli dukani kwetu pale? sister yetu pj ana bonge la msambwanda
😁😁😁😁 dohPole sana Hazard popte ulipo