Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hivi unaanzaje kupiga demu uliyekutana nae mtandaoni bila ndom au kupima?

Jf inaweza kuwa kama Badoo Lovoo na Hi5!

Huwa nashangaa sana 'wavulana' wanaoshovokea fake id hizi zenye avatar fake pia! Pole sana Hazard popte ulipo
Doh maskini Hazard

Chukulia Poa tu rafiki
 
Kama hata ukijiweka busy bado tatizo linakuja basi kuna uwezekano ukawa na matatizo yafuatayo, Eidha una tatizo kwenye mfumo wa Homoni, kwasababu tendo hilo huongozwa na mfumo huo kupanda hamu na kushuka au kuwa katika hali ya kawaida. Hapa kama kipindi flani ulikuwa kawaida na sasa ndio unaexperience tatizo , nashauri kamuone daktari na umpe bfief bila kumficha wala kuona aibu! Kwa upande mwingine yawezekana ukawa na pepo wa ngono, hapa unaweza kuwaona watu wa kiroho kwa ajili ya msaada wa kiroho wanaweza kukuvusha!
 
Namuona jamaa akipitia uzi ule akiwa ndani ya shuka haamini anachokiona mbele yake. Na hii kasumba ya kusema ugonjwa huu ni wa nadharia utawaghalimu vijana wengi mno, sisi kama taifa tunapoteza nguvu kazi kubwa mno ona sasa huyu Hazard CFC siku akiaza kubugia donge kubwa kama harage kila siku ndio atajua ukimwi upo kweli [emoji23][emoji23]
Mtukumbushe kumuhusu Hazard CFC
Pole yake huko alipo ila anaweza kwenda kwenye kituo chochote cha afya akapima hii itamsaidia kujua afya yake ipoje akiwa negative atachukua tahadhari ila akiwa positive ajue kuna mbaazi zinamhusu mpaka anaingia kaburini. Maana unaweza shiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye ni positive na usipate kimbembe kinakuja kama huyu Hazard CFC kalala na huyu mwanamke zaidi ya mara moja uwezo wa kuwa ameungua ni 99% hiyo moja amuachie Mungu.
Huyu Hazard CFC nae yupo gredi ya taifa, nawakumbusha vijana wengi wa humu muwe makini kwa tathimini nilizofanya naona humu ndani kuna kundi kubwa sana la vijana (ME na KE) wameungua. Ukimwi upo na unaua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mafala sana ninyii....chuma kipo imara hikii
 
Wako wengi humu asikutishe mtu. atayebisha nawatajia majina. Hornet uliwapa tundi kwa laha zako wasikutishe.
 
Back
Top Bottom