Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hakuna haja yakumuona dk,wala surgery,waweza kuwa kinyume chake tena,ukasaga meno,tulia tu ivyo ivyo na mmeo,jiulize hivi masister huwa wanaishije!!?, mbona wanavumilia, Kwanini we ushindwe,tena una mme,kuna hatari yakuchepuka.
Wacha achepuke akidhi haja zake mbona sie wanaume tunachepuka kukidhi haja zetu na fantasys zetu ambazo wake hawatimizi
 
Wacha achepuke akidhi haja zake mbona sie wanaume tunachepuka kukidhi haja zetu na fantasys zetu ambazo wake hawatimizi
Kwa hiyo ni mashindano ehee,anachotafuta atakipata huko nje,kitaleta vilio nakusaga meno ndani ya nyumba,time will tell.
 
Aayah umeshinda mkuu
Sijashinda haya sio mashindano....ni mtazamo tuu na jinsi navyotaka kuishi maisha yangu.
Kila changuo lina matokeo yake. Mie nimechagua kula mbususu magonjwa ya zinaa ni matokeo yake na nimekubaliana nayo
 
Hua ukipata hamu unajisikiaje
 
It's called Sex Maniac, the most common causes are changes in brain chemistry and brain pathways, unhealthy stress coping, and a history of trauma or sexual trauma.
Pls seek medical/Psychiatric intervention urgently
 
Sijashinda haya sio mashindano....ni mtazamo tuu na jinsi navyotaka kuishi maisha yangu.
Kila changuo lina matokeo yake. Mie nimechagua kula mbususu magonjwa ya zinaa ni matokeo yake na nimekubaliana nayo
Sawa endelea ndugu,ndo chaguo,hakuna wa kukuzuia mkuu,jiamini.
 
Ehhh
 
Hahaha my ex alinikimbia sababu hiyo,tunaweza jifungia ndani anapiga mizinga anikomeshe

Mie napiga show mkavuu jamaa akaona atakufa akanikimbia.

I hate this situation.
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…