Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mm naamini mwanamke mwenye akili zake timamu na mwenye maadili hawezi kuijua au kujiunga jamiiforums.na hawaipend kwakua haina features kama za IG za kumuwezesha kupost picha......hawa wanawake waliopo huku wapo kwenye mission za mawindo
Ohoooo...[emoji23][emoji23]
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40...
I think we suffer the very same problem. Mke wangu namuona hanitoshelezi kabsaaa na kuna wakati hadi najishangaa.
This is a serious problem. Nina uwezo wa monday to sunday bila kuruka siku
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Ni tatizo la kiafya niliwahi soma makala fulani ya u.s.a kuna mwanamke alikuwa na tatizo kama hilo ni bora kwenda hospt kuwaona mabigwa wa saikologia kwa matibabu zaid huku hutapata ushauri
 
Back
Top Bottom