Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hahaaa watu kwa kufukunyua mambo hamjambo
 
Mmpe huyo mleta uzi kufuli afunge PM yake maana hii Tz tatizo lako linatatuliwa kwa vitendo[emoji1787][emoji1787]
 
Ningekwambia njoo pm lakini ngoja kwanza
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?....
Nikipata muda wa kutype na kuchat Kwa muda mrefu nitakufuata mwenyewe pm
 
Chai ya Tangawizi na vitunguu saumu mara KWA mara inaongeza Sana ham ya hizi makitu
Mkuu bado humtakii mema mwenzio..nyege zimemponza..wewe bado unampa maujuzi mengne tena...pepo utaiskia tuu shekhe
 
Shikamoo Jamii Forums!

Muhimu tusisahau tu ya kwamba kuna mgombea fulani wa kiti cha Urais, mpaka muda huu bado pumzi yake imekata! Sijui ni lini atarudi kuendelea na kampeni. Hivyo tumuombee.
Bado unamuombea[emoji23]?
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
ni pm nitakusaidia kumaliza hilo tatizo
 
Back
Top Bottom