Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
- Thread starter
- #861
Hazard CFC anatoshaMkuu njoo bhasi nkupunguze hizo hamuu...[emoji10][emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazard CFC anatoshaMkuu njoo bhasi nkupunguze hizo hamuu...[emoji10][emoji847]
Laana yako imetimia [emoji848]Endelea kucheat , nadhani una nyota ya ngoma wewe
Duh, umesomea kazi ya kufukua makaburi?Laana yako imetimia [emoji848]
Duh, umesomea kazi ya kufukua makaburi?Laana yako imetimia [emoji848]
Mkuu njoo bhasi nkupunguze hizo hamuu...[emoji10][emoji847]
Tangazo lako halijakaa vzr kwa dar hutapata mjeta sisi wachovu sanaYaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
hahahaaMkuu Hazard CFC kwema?
[emoji3][emoji3][emoji3]..Aisee JF bhanaMkuu Hazard CFC kwema?
Mwana muda huu kama kaloeshwa na maj barid..kajikunyata huko alikoMkuu Hazard CFC kwema?