Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mimi ni mtaam wa psychology lakin kabla sijasema chochote naomba unipe nafas nijaribu kukutuliza angalau kwa mwezi mmoja ili nitambue tatzo limekuathiri kias gan.
 
Shikamoo Jamii Forums!

Muhimu tusisahau tu ya kwamba kuna mgombea fulani wa kiti cha Urais, mpaka muda huu bado pumzi yake imekata! Sijui ni lini atarudi kuendelea na kampeni. Hivyo tumuombee.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Tangazo lako halijakaa vzr kwa dar hutapata mjeta sisi wachovu sana
 
Back
Top Bottom