Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Haya Sasa Wale Mabazazi Wa zile PM nyenyenyee Mnazikumbuka eee?!!!

Wajaa laana mmeona Sasa mmeshamuongezea mwenzenu Alama ya Jumlisha Katika Majibu Ya Juzi?!!!!

Maskini Shem Wangu kwa Hornet....Ila yote ni mipango ya MUNGU Mana asingemuumba na NYMPHOMANIA Leo Wala Majibu Yasingekuwa Hivyo.....

Pole Sana Dada Hornet ila ninasikia eti Njugu zinaongeza Sana nanihiii....Sasa nawe ndo nymphomania...sijui itakuwaje?!!!

Looh...Mungu Akusaidie Aaamin!!
 
Anatetema huko aliko kama mbwa aliyeloa maji
Pole yake huko alipo ila anaweza kwenda kwenye kituo chochote cha afya akapima hii itamsaidia kujua afya yake ipoje akiwa negative atachukua tahadhari ila akiwa positive ajue kuna mbaazi zinamhusu mpaka anaingia kaburini. Maana unaweza shiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye ni positive na usipate kimbembe kinakuja kama huyu Hazard CFC kalala na huyu mwanamke zaidi ya mara moja uwezo wa kuwa ameungua ni 99% hiyo moja amuachie Mungu.
 
Asilimia 80 wenye ngwengwe huwa wana tabia flan flan ..amini hili

Unakuta mtu anajisifia..ohhh unakulaje pip na maganda..ooh.mim situmii ndom .ndom ni kama masterbation.....amini hil
Loooh😂😂😂
 
Pole yake huko alipo ila anaweza kwenda kwenye kituo chochote cha afya akapima hii itamsaidia kujua afya yake ipoje akiwa negative atachukua tahadhari ila akiwa positive ajue kuna mbaazi zinamhusu mpaka anaingia kaburini. Maana unaweza shiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye ni positive na usipate kimbembe kinakuja kama huyu Hazard CFC kalala na huyu mwanamke zaidi ya mara moja uwezo wa kuwa ameungua ni 99% hiyo moja amuachie Mungu.
Mzee Wa "Simba Kapakatwa na makaburi ya kimong'onyole" unashindilia looh😂😂
 
Mzee Wa "Simba Kapakatwa na makaburi ya kimong'onyole" unashindilia looh😂😂
Namuona jamaa akipitia uzi ule akiwa ndani ya shuka haamini anachokiona mbele yake. Na hii kasumba ya kusema ugonjwa huu ni wa nadharia utawaghalimu vijana wengi mno, sisi kama taifa tunapoteza nguvu kazi kubwa mno ona sasa huyu Hazard CFC siku akiaza kubugia donge kubwa kama harage kila siku ndio atajua ukimwi upo kweli 😂😂
 
Jf ni ya kuogopa sana, humu watu wamebadilishana sana risasi.
Naomba nisiongee mengi lakini ninayoyafahsmu ya humu yanatisha sana
Tangazo lako halijakaa vzr kwa dar hutapata mjeta sisi wachovu sana
[emoji3][emoji3][emoji3]..Aisee JF bhana
Huyu Hazard CFC nae yupo gredi ya taifa, nawakumbusha vijana wengi wa humu muwe makini kwa tathimini nilizofanya naona humu ndani kuna kundi kubwa sana la vijana (ME na KE) wameungua. Ukimwi upo na unaua
Mmhhh.....kumbe ndio maana watu wanakua na ID mbilimbili
Wafukua makaburi ni noma aisee
Mwana muda huu kama kaloeshwa na maj barid..kajikunyata huko aliko
 
Namuona jamaa akipitia uzi ule akiwa ndani ya shuka haamini anachokiona mbele yake. Na hii kasumba ya kusema ugonjwa huu ni wa nadharia utawaghalimu vijana wengi mno, sisi kama taifa tunapoteza nguvu kazi kubwa mno ona sasa huyu Hazard CFC siku akiaza kubugia donge kubwa kama harage kila siku ndio atajua ukimwi upo kweli 😂😂
Mzee Wa ukuta mrefu Wa "kimong'onyole" Kwani ww hukwenda PM?!!!😁😁
 
Namuona jamaa akipitia uzi ule akiwa ndani ya shuka haamini anachokiona mbele yake. Na hii kasumba ya kusema ugonjwa huu ni wa nadharia utawaghalimu vijana wengi mno, sisi kama taifa tunapoteza nguvu kazi kubwa mno ona sasa huyu Hazard CFC siku akiaza kubugia donge kubwa kama harage kila siku ndio atajua ukimwi upo kweli [emoji23][emoji23]
Wakuu naona mnajadili Hazard CFC kimzaha, hili sio jambo la kuvutia badala yake tumtie moyo kwani hili jambo linahatarisha uhsi wake.
 
Mzee Wa ukuta mrefu Wa "kimong'onyole" Kwani ww hukwenda PM?!!!😁😁
Hapana mkuu nimeridhika na mke wangu kwa sasa, sitaki nyama za nje maana muonekano na utamu ni uleule kwanini nijipeleke machinjioni wakati najua muda wowote panga linapita shingoni. Hiki kijiji cha JF sio salama kabisa muhimu kuchukua tahadhari
 
Haswaa....

Hali Tete Mkuu...Sasa Wale Wana Kifimbo Cheza Wajifunze Kwa Hilo Somo....uzuri dada Hornet Kawa Muwazi....kawiwa na Mungu Mwenyezi Kunasihi.....
 
Back
Top Bottom