Kweli kabisa hata mimi nimemshauri ajenge nyumba za kupangisha hatopata stress za kupigwa.Ningekuwa wewe ningejenga ghorofa ama nyumba za kupangisha dar then natulia tul kwa pesa jiyo unapata nyumba nzuri sana 14 ambazo unapangisha kwa laki5 unakuwa unapata 7 mil kila mwezi wakikulipa kwa miezi 6 una uwezo wa kuingiza 42 mil. Hizo ndo utaanza kufanyia biashara
Ili mumteke ? ..info gani zaidi inahitajika zaidi ya kumpa idea za biashara kwa mtaji huo.Huwezi ukatoa ushauri pasipo kuwa na facts za kukuongoza kutoa ushauri,ni lazima mtu apate ABC kuhusiana nawe
Hii laki 5 ni kwa siku mshana?Nunua crane, catapiller, back hole na grader njoo upige kambi Pwani kwenye ujenzi wa viwanda... Hizo mashine ni dili sana huku.. Na bei ya chini ya kukodi ni laki 5
Jr[emoji769]
Anaenda kupigwa mtu hapaNitafute mkuu kwa milion 10 baada ya wiki mbili nakupa milion 16.
Sikushauri uwekeze yote kwenye biashara kwa Sasa. Wekeza kidogo kidogo kwenye potential business.
Nina mengi ya kukuguide Kama hutojali nakuarika lunch leo pale La chaaz tuexhange views and ideas.
Bless.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu mwenye million mia 7 hawezi kuupata muda wa kupost something jf
Nitafute mkuu kwa milion 10 baada ya wiki mbili nakupa milion 16.
Sikushauri uwekeze yote kwenye biashara kwa Sasa. Wekeza kidogo kidogo kwenye potential business.
Nina mengi ya kukuguide Kama hutojali nakuarika lunch leo pale La chaaz tuexhange views and ideas.
Bless.
Sent using Jamii Forums mobile app