Eliamini
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 609
- 734
Kweli kabisa hata mimi nimemshauri ajenge nyumba za kupangisha hatopata stress za kupigwa.Ningekuwa wewe ningejenga ghorofa ama nyumba za kupangisha dar then natulia tul kwa pesa jiyo unapata nyumba nzuri sana 14 ambazo unapangisha kwa laki5 unakuwa unapata 7 mil kila mwezi wakikulipa kwa miezi 6 una uwezo wa kuingiza 42 mil. Hizo ndo utaanza kufanyia biashara
Sent using Jamii Forums mobile app