Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Ningekuwa wewe ningejenga ghorofa ama nyumba za kupangisha dar then natulia tul kwa pesa jiyo unapata nyumba nzuri sana 14 ambazo unapangisha kwa laki5 unakuwa unapata 7 mil kila mwezi wakikulipa kwa miezi 6 una uwezo wa kuingiza 42 mil. Hizo ndo utaanza kufanyia biashara
Kweli kabisa hata mimi nimemshauri ajenge nyumba za kupangisha hatopata stress za kupigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jimmymziray,

Umefanya vyema kuulizia ushauri, lakini kwa haraka haraka tu angalia yafuatayo:

1: Wewe kama wewe bila kushauria na mtu ulikuwa unawaza ufanyie nini?

2: Je unauzoefu au elimu ya kitu gani? maana kwa vyovyote vile utashauriwa uwekeza kwenye shughuli inayozalisha - Biashara nk.

3:Uwe makini maana matapeli wapo na watakufuatilia.
 
kwanza kama ulikua mrithi halali,isingeuza investments ulizridhi ungeziendeleleza ingekua rahisi zaidi, cash as an asset is much risk t keep.
ushauri wangu.
wekeza pesa yako kwenye uwekezaji wa;
MUDA MREFU:
1.Nunua kiwanja jenga nyumba upate pa kuishi kwanza.usijenge nyumba kubwa sana ya kifahari, bana matumizi.
2.Nunua shamba karibu na maene0 ya dsm anzisha ufugaji (Ngombe, mbuzi, kuku n.k)

MUDA WA KATI
1.Wekeza kiasi cha hiyo pesa kwenye fixed account kwa atleast mwaka.
2.Nunua shares dar stock exchange.
MUDA MFUPI.
1.anzisha micro financing (ningekushauri uanzishe ila kama huna inaweza kukusumbua)
2.anzisha biashara ya building materials au spare parts za magari (fanya utafiti wako ila profit margin kwenye hizi biashara ni nzuri)
 
Nitafute mkuu kwa milion 10 baada ya wiki mbili nakupa milion 16.

Sikushauri uwekeze yote kwenye biashara kwa Sasa. Wekeza kidogo kidogo kwenye potential business.

Nina mengi ya kukuguide Kama hutojali nakuarika lunch leo pale La chaaz tuexhange views and ideas.

Bless.



Sent using Jamii Forums mobile app
Anaenda kupigwa mtu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana maisha yametupiga kweliji, mtu hadi unajisingizia utajiri. Kakutana na wana Jf vituko..Ngoja nikae hapa nicheke
 
Nitafute mkuu kwa milion 10 baada ya wiki mbili nakupa milion 16.

Sikushauri uwekeze yote kwenye biashara kwa Sasa. Wekeza kidogo kidogo kwenye potential business.

Nina mengi ya kukuguide Kama hutojali nakuarika lunch leo pale La chaaz tuexhange views and ideas.

Bless.



Sent using Jamii Forums mobile app

Take care the hunters might be the hunted
 
Back
Top Bottom