Ushauri: Ninampenda sitaki kumpoteza kwani tumeshafanya mambo mengi


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mapenzi Salamaleko[emoji119][emoji119][emoji119]

Sasa mkuu hapo kushauriwa ni ngumu mana unasema bado unampenda[emoji3064] Mtu akiwa in love hashauruki hapo najua unatamani upate mtu akawambie uongo wa kukufariji kuliko ukweli unaouma
 
Duuuh hii kali [emoji16][emoji16][emoji16]

Mahusiano ya kitotototo ndio yalifanya nidate na ma ligendii [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…