Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Wee ndo unatushauri au tukushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanajamii ninaomba msaada wenu nilikua na mpenzi wangu niliyempenda sana na tumepanga malengo mengi sana kiasi kwamba nikatulia nae lakini wiki moja iliyopita nikakuta sms za kimapenz na mtu mwengine nilichukua maamuzi mabaya yampiga kofi moja nakumpokonya cm kwahasira lakini kesho yake nikazungumza nae ili nimuombe msamaha nahivi ndivyo alivyonijibu.
“MIMI ninakupenda sana tu na hata huyu uliyekuta sms zake anajua jinsi ninavyokupenda lakini kwa ulichonifanyia moyo wangu haupo tena kwako Upo kwa huyu coz we ilinisema vibaya ila huyu alinibembeleza ila kama unaweza nipe mda kama Kweli unanipenda “
Najaribu kumasahau nashindwa coz nilimuamini sana nabado ninampenda sitaki kumpoteza coz tushafany mamb mengi sana yamaisha na hata starehe pia…[emoji30]. ikimpigia cm neno lake kubwa tusiongelee kilichotokea utanikwaza tuendelee kuishi sasa sijui nifanyaje nahitaji nifike nae mbali kiujumla hasira zangu ndo zimeniponza.
Naombeni ushauri jamni [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
I feel no sympathy for you, una uoga sana. Maisha lazima yaendelee whatever may be the reason, you need not think that it's the end of life
Kwa kifupi huyo si wako, you don't need to look for love, love will find you
Wala hamna tatizo, namshangaa tu huyu dogo kachapiwa alafu bado anawaza kuacha[emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kwa uchungu sana!!! Kuna tatizo??
Wala hamna tatizo, namshangaa tu huyu dogo kachapiwa alafu bado anawaza kuacha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuchapiwa ni case kubwa hiyo, wacha kabisa[emoji23]Km bado anampenda je? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuchapiwa ni case kubwa hiyo, wacha kabisa[emoji23]
Hiyo ni straight red card. Hakuna hata haja ya VARMnasameheana maisha yanaendelea kwan kaondoka ?!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni straight red card. Hakuna hata haja ya VAR
This boy picture says everything,
Mmmh sio kawaida, ww unaweza kuchepuka?[emoji23][emoji23][emoji23] unakua hujampenda, kwan wewe huwez kuchepuka?! Mbona vitu vidogo vina zungumzika
Mmmh sio kawaida, ww unaweza kuchepuka?
Roger dat... OverDelta one alpha , we need immediate back up i repeat one asset down over...
[emoji848] oooh hayaNitajua nikiolewa, kuchepuka si ipo kwa wanandoa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848] oooh haya
Upi tena? Maana tunazungumzia mengi, weka intro ili mchele usimwagwe kwenye kuku wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alafu ule ushauri wako kesho nataka niufanyie kazi
🤣🤣Katokea wapi huyu?