Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

Sijui kwanini natamani umuoe wa kwanza, huyo wa pili week ya kwanza tu anataka mzae? Hapana hebu mpige chini.

Nimempenda wa kwanza anatulia na shida zakw, unataka akuambie matatizo ya kwake au kwao kesho uanze msakama? ngoja akujue vizuri atakuelezea tu.
 
Habari za siku wadau

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji.

Mweupe kivipi ebu fafanuwa babaa, au una kauchotara kakiarabu babaa tuambizane basii, ata kapicha nipm 😁
 
Habari za siku wadau

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji.
Fata moyo wako brother.......Alf uwe makini sio kuingia kweny mahusiano miez mitatu au week moja unaanza kuwaza ndoa.....sisi wanawake ni watata mno.....take care
 
Ameipenda rangi yako au sio.

Usioe kwanza mkuu mana bado hujui unachotaka, sisi tutakushauri ila kuna mengi unahitaji uyaangalie kwa jicho lako mkuu.
 
Asanteni kwa michango yenu wadau nimesoma yote nazani mmenipa uzoefu mkubwa kuna jambo nimelipata litanisaidia mmenipa ushauri hata kwa yale niliyokuwa sikuyategemea
 
Miaka 26!!!

Usioe yeyote kwa sasa. Vuta muda.
 
Nilichoelewa katika hiyo miezi 3 hujapewa mbususu lakini unapigwa vizinga vidogo vidogo.

Halafu mwingine ndani ya wiki 1 unapewa mbususu unajipimia.
 
Dah Kuna mwanaume huku anataka kuoa..!!
Dah Kuna watu MNAPENDA shidaa...

#YNWA
 
Oa mwenye mnato. Vigezo vingine tupa huko. Swali la kikuda majibu yake huwa ya kikudakuda!!!
 
 
Usuri kwenye maswala ya kujenga familia na mahusiano sisi ndo huwa tunajipeleka njia haram na ya miba
 
1 ndo wife material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…