Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Sijui kwanini natamani umuoe wa kwanza, huyo wa pili week ya kwanza tu anataka mzae? Hapana hebu mpige chini.
Nimempenda wa kwanza anatulia na shida zakw, unataka akuambie matatizo ya kwake au kwao kesho uanze msakama? ngoja akujue vizuri atakuelezea tu.