ladykiokote
Member
- Jun 12, 2014
- 87
- 31
Kama anahudhuria bar mpaka sasa zimeshapungua.....atafute kiwanja maana thamani ya ardhi inaongezeka kila siku.
Kama hajui afanye nayo nini bora aende pembezoni mwa mji anunue hata viwanja vya milioni 4 ,4 viwili vitamlipa hapo baade
amechukua mkopo kabla ya kujua hizo fedha atazifanyia nini?
Yeah ni wazo zuri though mi nilimshauri anunue kiwanja kwanza ajenge nyumba yake ili siku moja aushi kwakwe
Nusu nunua kiwanja na nusu ingiza kwenye biashara ila kabla ya kuajiriwa alishawah fanya biashara
alifikiria pia kuanzisha biashara ya kukopesha watu pesa,arudishiwe kwa riba... mnalionaje hili wazo wapeni
Yeah ni wazo zuri though mi nilimshauri anunue kiwanja kwanza ajenge nyumba yake ili siku moja aushi kwakwe
Milion nane atajenga nyumba gan....labda kwenu huko nanjilinji
alifikiria pia kuanzisha biashara ya kukopesha watu pesa,arudishiwe kwa riba... mnalionaje hili wazo wapeni
Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa miaka miwili, lkn mpaka sasa yuko kwenye dillema hajui afanye kitu gan na hzo pesa, hana kiwanja, anataman kufungua biashara. Lkn mi nikamshauri aachane na biashara kwanza kwa sbb pesa itaweza potelea yote huko na atapata maumivu ya kukatwa mshahara kwa miaka miwili.
Naomba mumshauri na nyie jaman.
Kiokote