Ushauri pls

Ushauri pls

ladykiokote

Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
87
Reaction score
31
Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa miaka miwili, lkn mpaka sasa yuko kwenye dillema hajui afanye kitu gan na hzo pesa, hana kiwanja, anataman kufungua biashara. Lkn mi nikamshauri aachane na biashara kwanza kwa sbb pesa itaweza potelea yote huko na atapata maumivu ya kukatwa mshahara kwa miaka miwili.

Naomba mumshauri na nyie jaman.
Kiokote
 
Kama anahudhuria bar mpaka sasa zimeshapungua.....atafute kiwanja maana thamani ya ardhi inaongezeka kila siku.
 
Kama hajui afanye nayo nini bora aende pembezoni mwa mji anunue hata viwanja vya milioni 4 ,4 viwili vitamlipa hapo baade

Yeah ni wazo zuri though mi nilimshauri anunue kiwanja kwanza ajenge nyumba yake ili siku moja aushi kwakwe
 
Yeah ni wazo zuri though mi nilimshauri anunue kiwanja kwanza ajenge nyumba yake ili siku moja aushi kwakwe

Pamoja na hayo ila naona huyo Rafikiyo dish limetingishika kidogo vipi achukue mkopo wakt hajui afanyie nn???

Maendeleo huanza kwa taswira kichwani kwa maana alitakiwa kuwa tayr na picha ya namna ya kutumia hiyo pesa
 
Nusu nunua kiwanja na nusu ingiza kwenye biashara ila kabla ya kuajiriwa alishawah fanya biashara

Aliwahi fanya biashara ndogo kipindi cha nyuma, alikuwa anauza vitu vya wtt ikiwemo nguo na vifaa vya ww from birtj mpaka 14 years, lkn biashara ikamshinda akafunga duka so ana experience ya biashara kias fulan.
 
alifikiria pia kuanzisha biashara ya kukopesha watu pesa,arudishiwe kwa riba... mnalionaje hili wazo wapeni
 
Unachukua mkopo bila kujua unamatumizi gani?
Hataree
 
Ushauri mzuri kabisa, achukue hizo pesa arudishe, wale tu ka interest kidogo hako katakakokua kamebaki awe kajifunza.. Huwezi chukua mkopo bila kua na plan, unaanzaje plan ukishapata mkopo?? kama ni plan mbovu je?

Arudishe pesa ya watu isije potea akajuta, akae apange plan vizuri biashara gani atafanya, itamcost vipi, risk zake ni zipi, market yake ni akina nani, competition yake ni ipi, plan nzima iandikwe vizuri then ndo aende akaombe mkopo au ajaribu kutafuta njia nyingine za kutafuta pesa na sio kujiingiza kwenye madeni tu...
 
Habarini za asbh wana MMU
kuna rafiki yangu anahitaj ushauri nimeona nilete kwenu mtamsaidia, amechukua mkopo benki wa tshs 8000000 (milion nane) ambazo atakatwa kwenye mshahara wake kwa muda wa miaka miwili, lkn mpaka sasa yuko kwenye dillema hajui afanye kitu gan na hzo pesa, hana kiwanja, anataman kufungua biashara. Lkn mi nikamshauri aachane na biashara kwanza kwa sbb pesa itaweza potelea yote huko na atapata maumivu ya kukatwa mshahara kwa miaka miwili.

Naomba mumshauri na nyie jaman.
Kiokote

Mwambie achukue kiasi kama m mbilii anunue shamba kubwa na apande miti ya mitiki au miberiti..baada ya miaka saba atapata mafanikio.makubwa saaana..
kiasi kinachobaki akakusanye nafaka kwa wakulima,,aje aziuze kipindi zinapoadimika.
Hili lina hitaji time yake saana..

Lakin anaweza fanya soft business ambayo haina stress kabsa na inakupatia smart money..
Atafute frem maeneo yenye watu saana..kama kkoo.mwenge..ubungo...n.k
alipie mwaka mzima
Kisha nunua line zako za tigo.mpesa na airtel money..maxmalipo.. uza vocha za jumla..
Mtafute mtu makin asimamie...
Baada ya mwaka utakua na pesa nyingi saana.
 
Back
Top Bottom