Ushauri pls


Anunue boda boda 5
 

Karibu anytime: 0755 285 023 c/o Philip
 
aende kwa mganga wa kienyeji amuulize azifanyie nn.au anitumie mm nimnunulie pweza..
 
Ladykiokote mawazo yangu ni yafuatayo:-

Ki ukweli ni kwamba kuchukua mkopo bila kuwa na plan ni tatizo ila kwa vile ishatokea tuiweke pembeni

Cha msingi ni ajaribu kutulia kwanza na hiyo pesa japokuwa ukiwa na pesa matatizo na vishawishi vinaongezeka

Kama anataka kufanya biashara:

Kama anataka kufanya biashara aangalie tatizo katika jamii inayomzunguka kisha atengeneze solution inayoendana na capital aliyonayo. Kuna njia kuu mbili za kupata tatizo

1. Under served market (Anything of interest anaweza pata faida)
2. Total new market

Kama anafikiri biashara ya kukopesha ataimudu, poa afanye. Biashara yeyote ni changamoto ndio maana si kila mtu anafanya. Haitakuwa rahisi lakini furaha inakuja pale atapoweza kuifanya iwe rahisi na hatimae kupata faida

Other forms:

1. Anaweza jifunza kuhusu government bonds and bills kisha akainvest pesa hizo wakati anasubiri wazo
Hii ni moja ya risk free investment kwa pesa yako. Kwa nini? well, ni kwa sababu ni serikali

2. Find a bank that pays a good interest rate kisha aiweke. Itazaa badala ya kukaa tuu

3. Asome na ajiongeze. Something might come up

Note: Asikate tamaa. Makosa ndio mwazo wa kujua
 
Ndio maana hata serikali yetu inakopa sana na haijui kipaumbele ni kipi?
 

Ubarikiwe, mawazo mazuri sana.. asante mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…