Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Ila huyo dada anataka kuvunja ndoa ya jamaa Yako
Matumizi Gani hayo anadai wakati na ye ni mwalim?
Huu upumbavu
Ina maana ye hela yake hailei kabisa mtt?
 
Imagine jmn.
Yaani mtu una kesi ,huna hela ,kazi umesimama Bado una hamu ht ya kutongoza na kulala na mchepuko?

Huna kinachokubana kwann usiende Kwa mkeo kwanza mpk mambo yayakapokaa sawa?.
 
Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.

DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Huyu mchepuko Hali ya kiuchumi haimhusu, inamhusi mke
Mchepuko wanaangalia hela tu ndo huyu mwalim ss
Inakuingia akili mwalim afanye mambo yakipuuzi
 
Na Huo Ndo ukweli wengi wasopenda kuusikia
 
Yaani mwanamke haoni umuhimu wa kuwa na watoto? Huyo atakuwa ni kichaa kabisa.
Kuna mpuuzi mmoja ananiambia masuala ya mtoto lakini hataki kuleta nyaraka muhimu za mtoto nimfungulie akaunti na bima ya afya ila anataka pesa kwa ajili ya ada ya shule.
Namwona kama punguani, ndo sampling ya huyo mwalimu.
 
Imagine, mwalim kabisa!
Shame
 
Niamini mwanaume hajawahi kuaibika engo hiyo.
Hapo atalitatua kwa hali na mali, na uchumi utarejea lkn upande wa mwalimu historia imebadilika na ajicheza ndoa inaweza kuwa ngumu...
Huyo mdada ukute ni Malaya tu Hana Cha kupoteza
Mwanaume anaweza akapoteza Kwa kukosa ndoa usifanye mchezo
Inategemea na mke, Kuna mwingine ndo inakuwa imetoka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…