Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Walipokua Kwny mahusiano alimwonesha anapoishi, na madam alijua fika jamaa anaishi mwnyw bila mke, lilivozuka suala la kung'ng'ana ahamie kwa Jamaa, ikabd jamaa afunguke wazi kua kaoa, na pale sio kwake, Bali kwake na mkewe alieko mkoani, hivyo hawawez kuishi nyumba iyo pamoja.
Ila huyo dada anataka kuvunja ndoa ya jamaa Yako
Matumizi Gani hayo anadai wakati na ye ni mwalim?
Huu upumbavu
Ina maana ye hela yake hailei kabisa mtt?
 
Sometimes mnalaumugi hawa wanawake tu hata kwa makosa ya chululuu zenu.... Men you gaa yo family already, Then instead of focusing on caring of your family and future unaanza kutangatanga tena nje. Okay no problem you decided to be a hoe basi tumia kinga au acha kumwagia mwagia ndani kama mpumbavu... So sad unakuta mtu kama huyu ndo tunaekewa awe viongozi fulani aongoze vichwa zaidi ya vitano wakati hata kichwa chake cha chululuu kimemshinda.

Muambie huyo jamaa hayo ndo matokeo ya kuendekeza hamu za kimwili.
Imagine jmn.
Yaani mtu una kesi ,huna hela ,kazi umesimama Bado una hamu ht ya kutongoza na kulala na mchepuko?

Huna kinachokubana kwann usiende Kwa mkeo kwanza mpk mambo yayakapokaa sawa?.
 
Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.

DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Huyu mchepuko Hali ya kiuchumi haimhusu, inamhusi mke
Mchepuko wanaangalia hela tu ndo huyu mwalim ss
Inakuingia akili mwalim afanye mambo yakipuuzi
 
Wanaume wanaparamia vichaka wasivyovimudu kwa tamaa zao, na hiyo malayyer shida yake avuruge hiyo ndoa waachane na ndo maana ameona alete watoto ili mke wa jamaa ipo siku atajua, na akijua ni mtoto utawaka, hiyo mallayyer inahisi kule wakivurugana mwanaume ataamua kurudisha mahusiano kwake. Jambo ambalo wanawake wengi ambao hawajaolewa wanalitamanigi sana ila hawajawai kujua mume wa mtu anakutamani tu kwa muda na huwa hawatamani kuyakanyaga kama jamaa ake DeepPond alivofanya
Na Huo Ndo ukweli wengi wasopenda kuusikia
 
Yaani mwanamke haoni umuhimu wa kuwa na watoto? Huyo atakuwa ni kichaa kabisa.
Kuna mpuuzi mmoja ananiambia masuala ya mtoto lakini hataki kuleta nyaraka muhimu za mtoto nimfungulie akaunti na bima ya afya ila anataka pesa kwa ajili ya ada ya shule.
Namwona kama punguani, ndo sampling ya huyo mwalimu.
 
Yaani mwanamke haoni umuhimu wa kuwa na watoto? Huyo atakuwa ni kichaa kabisa.
Kuna mpuuzi mmoja ananiambia masuala ya mtoto lakini hataki kuleta nyaraka muhimu za mtoto nimfungulie akaunti na bima ya afya ila anataka pesa kwa ajili ya ada ya shule.
Namwona kama punguani, ndo sampling ya huyo mwalimu.
Imagine, mwalim kabisa!
Shame
 
Niamini mwanaume hajawahi kuaibika engo hiyo.
Hapo atalitatua kwa hali na mali, na uchumi utarejea lkn upande wa mwalimu historia imebadilika na ajicheza ndoa inaweza kuwa ngumu...
Huyo mdada ukute ni Malaya tu Hana Cha kupoteza
Mwanaume anaweza akapoteza Kwa kukosa ndoa usifanye mchezo
Inategemea na mke, Kuna mwingine ndo inakuwa imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom