Hao unaodhani wapo kwenye Ndoa unajua wanayofanya na yanayowatokea kama familia, why mmewapachika majina single maza and single dadi?.
Unajuwa kwa nini?.
Ficha ujinga penye akili ya kujifunza.
Ume comment kutokana na maelezo haya haya...!?Cha ajabu utaona binti atakavyoonekana na matatizo lakini si mwanaume😂😂 hii ndo afrika.
Kiazi tenaOkay 🤣
Huyu sio fukara tu
Hana akili
Kuna walimu Wana akili ila huyu kiazi
Kuwapeleka watoto kwa mkewe Itakua Ni kujipalia Moto wa jihanam Kwny ndoa yakeKwanza mi silei mtt wa mtu
Km walivyokutana kwenye uzinzi wamalizane hukohuko.
Ni kweli watt hawana hatia ila Huwa wanaleta shida sn kwenye ndoa hao
Nnachoshkuru mungu MKE wangu mamaG hawajawai kua na roho mbaya.Abarikiwe mana G, akiweza awalee tu Mungu atambariki yeye na uzao wake, watoto hawana hatia
ndo wanaume mkome kuvamia siku hizi afya ya akili is everywhere arudi kwa mkewe na ajitahidi sana asikosee tena
Yaani uyu binti Ni matatzo,kiuhalisia Ni Kama anamkomesha jamaa kwa kudate naeKama ningekua Mimi ndo huyo jamaa.....!
Kwanza nisingemtafuta tena huyo Mwanamke, ningepeleka Watoto wakalelewe na Bibi yao ama na Aunty yao, then napeleka Matumizi.
Nakwenda Ustawi wa jamii ku report kwamba Watoto nalea mwenyewe
Nakwenda ofisini ku report kwamba Watoto nawalea mwenyewe hivyo wa cancel ile posho ilokua inakwenda kwa Mwanamke kila Mwisho wa Mwezi.
Ukisikia sio kila Mwanamke anafaa kuwa Mke ndo kama huyo sasa...!
Unakuta Binti Mzuri yupo 30+ hana Mahusiano ya Kudumu wala hajawahi kuolewa unamshobokea, kumbe Wanaume wenzako kila siku wanakimbia Matatizo.
DuhMwaka na kitu
Ila kwa yule mchepuko wako hutaki kutoka pamoja na kukufanyia majaribio ya kukufuata adi kwako kwenye mwembe sjui ilikuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unafikiri mkizaa si ndo siku iyo kumpigia mama G njoo unihudumie nimezaa na DeepPond 😀😀😀😀Na Huo Ndo ukweli wengi wasopenda kuusikia
Kwani mwalimu sio mwanamke kama mwanamke mwengine atayetamani naye kuitwa mrs jamaa? Shida sio ualimu, shida kila mwanamke ambaye ni mchepuko huwa anatamani kuwa mke kama aliyemkuta! Na ndo maana visa haviishi kwa hao michepuko wenu, kwa waganga hawatulii wawapumbaze hadi muwakane watoto wenu wa ndoa,....huyu shemejiye DeepPond anaonekana shida yake avuruge hadi waachane na mke yeye ndo aolewe na ndio maana aliona kakomesha jamaa kukatwa ela kubwa akaridhika akahisi kutakuwa na amani na jamaa ataendelea naye kwakuwa hakuna kelele za matunzo, jamaa kakata mahusiano anaona ampelekee watoto ili avuruge zaidi mkewe ajue waachane labda jamaa amrudie mchepuko na hapo kwa waganga kaenda saana hajapata suluhu....nyie wanaume mnayatafutaga wenyeweImagine, mwalim kabisa!
Shame
Ndo ivo keshahesabu naye ni mke, kwani mkeo huwa anahitaji kutoa nyaraka gani ndo uhudumie watoto hahahaaa mnayatafuta wenyewe....siku bado anakuletea mwana getini kwakoYaani mwanamke haoni umuhimu wa kuwa na watoto? Huyo atakuwa ni kichaa kabisa.
Kuna mpuuzi mmoja ananiambia masuala ya mtoto lakini hataki kuleta nyaraka muhimu za mtoto nimfungulie akaunti na bima ya afya ila anataka pesa kwa ajili ya ada ya shule.
Namwona kama punguani, ndo sampling ya huyo mwalimu.
Yule nikijichanganya kumzalisha nmekwisha[emoji1787]Ila kwa yule mchepuko wako hutaki kutoka pamoja na kukufanyia majaribio ya kukufuata adi kwako kwenye mwembe sjui ilikuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafikiri mkizaa si ndo siku iyo kumpigia mama G njoo unihudumie nimezaa na DeepPond [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiukweli wanaume wengi tunaponzwa na nyegeKwani mwalimu sio mwanamke kama mwanamke mwengine atayetamani naye kuitwa mrs jamaa? Shida sio ualimu, shida kila mwanamke ambaye ni mchepuko huwa anatamani kuwa mke kama aliyemkuta! Na ndo maana visa haviishi kwa hao michepuko wenu, kwa waganga hawatulii wawapumbaze hadi muwakane watoto wenu wa ndoa,....huyu shemejiye DeepPond anaonekana shida yake avuruge hadi waachane na mke yeye ndo aolewe na ndio maana aliona kakomesha jamaa kukatwa ela kubwa akaridhika akahisi kutakuwa na amani na jamaa ataendelea naye kwakuwa hakuna kelele za matunzo, jamaa kakata mahusiano anaona ampelekee watoto ili avuruge zaidi mkewe ajue waachane labda jamaa amrudie mchepuko na hapo kwa waganga kaenda saana hajapata suluhu....nyie wanaume mnayatafutaga wenyewe
Yaani unalala yooo🤣🤣🤣🤣Yule nikijichanganya kumzalisha nmekwisha[emoji1787]
Labda ni mwalimu wa tuitionImagine, mwalim kabisa!
Shame