Humilis
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 889
- 1,070
Jamaa yako ashukuru sana kwa hilo.Akamilishe hilo suala la kuripoti sehemu husika,asitishe pesa iliyokuwa inaenda kwa mwanamke na pango na kila kitu na hizo nguvu azitumie kwenye kulea hao watoto.
Kwa aina hiyo ya mwanamke,hao watoto wangeishia kuteseka tu na kupata malezi ya ovyo.Ni kama amerudishiwa watoto ili waweze kuwa salama zaidi mikononi mwake.Na asije kuthubutu kuwarudisha hao watoto kwa mama yao hata iweje.
Kuna watu wana kipato kidogo sana kuliko hicho cha jamaa anachoweza kuprovide na wana familia kubwa,lakini wanaishi vizuri na watoto hawalali njaa na wana afya nzuri kabisa.Asiwaze kuhusu suala la uchumi.