Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Jamaa yako ashukuru sana kwa hilo.Akamilishe hilo suala la kuripoti sehemu husika,asitishe pesa iliyokuwa inaenda kwa mwanamke na pango na kila kitu na hizo nguvu azitumie kwenye kulea hao watoto.

Kwa aina hiyo ya mwanamke,hao watoto wangeishia kuteseka tu na kupata malezi ya ovyo.Ni kama amerudishiwa watoto ili waweze kuwa salama zaidi mikononi mwake.Na asije kuthubutu kuwarudisha hao watoto kwa mama yao hata iweje.

Kuna watu wana kipato kidogo sana kuliko hicho cha jamaa anachoweza kuprovide na wana familia kubwa,lakini wanaishi vizuri na watoto hawalali njaa na wana afya nzuri kabisa.Asiwaze kuhusu suala la uchumi.
 
Kama ningekua Mimi ndo huyo jamaa.....!

Kwanza nisingemtafuta tena huyo Mwanamke, ningepeleka Watoto wakalelewe na Bibi yao ama na Aunty yao, then napeleka Matumizi.

Nakwenda Ustawi wa jamii ku report kwamba Watoto nalea mwenyewe
Nakwenda ofisini ku report kwamba Watoto nawalea mwenyewe hivyo wa cancel ile posho ilokua inakwenda kwa Mwanamke kila Mwisho wa Mwezi.

Ukisikia sio kila Mwanamke anafaa kuwa Mke ndo kama huyo sasa...!

Unakuta Binti Mzuri yupo 30+ hana Mahusiano ya Kudumu wala hajawahi kuolewa unamshobokea, kumbe Wanaume wenzako kila siku wanakimbia Matatizo.
 
Abarikiwe mana G, akiweza awalee tu Mungu atambariki yeye na uzao wake, watoto hawana hatia
ndo wanaume mkome kuvamia siku hizi afya ya akili is everywhere arudi kwa mkewe na ajitahidi sana asikosee tena
 
Kwanza mi silei mtt wa mtu

Km walivyokutana kwenye uzinzi wamalizane hukohuko.
Ni kweli watt hawana hatia ila Huwa wanaleta shida sn kwenye ndoa hao
Kuwapeleka watoto kwa mkewe Itakua Ni kujipalia Moto wa jihanam Kwny ndoa yake
 
Abarikiwe mana G, akiweza awalee tu Mungu atambariki yeye na uzao wake, watoto hawana hatia
ndo wanaume mkome kuvamia siku hizi afya ya akili is everywhere arudi kwa mkewe na ajitahidi sana asikosee tena
Nnachoshkuru mungu MKE wangu mamaG hawajawai kua na roho mbaya.

Ana upendo na huruma Sana na watoto
 
Kama ningekua Mimi ndo huyo jamaa.....!

Kwanza nisingemtafuta tena huyo Mwanamke, ningepeleka Watoto wakalelewe na Bibi yao ama na Aunty yao, then napeleka Matumizi.

Nakwenda Ustawi wa jamii ku report kwamba Watoto nalea mwenyewe
Nakwenda ofisini ku report kwamba Watoto nawalea mwenyewe hivyo wa cancel ile posho ilokua inakwenda kwa Mwanamke kila Mwisho wa Mwezi.

Ukisikia sio kila Mwanamke anafaa kuwa Mke ndo kama huyo sasa...!

Unakuta Binti Mzuri yupo 30+ hana Mahusiano ya Kudumu wala hajawahi kuolewa unamshobokea, kumbe Wanaume wenzako kila siku wanakimbia Matatizo.
Yaani uyu binti Ni matatzo,kiuhalisia Ni Kama anamkomesha jamaa kwa kudate nae
 
Na Huo Ndo ukweli wengi wasopenda kuusikia
Ila kwa yule mchepuko wako hutaki kutoka pamoja na kukufanyia majaribio ya kukufuata adi kwako kwenye mwembe sjui ilikuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unafikiri mkizaa si ndo siku iyo kumpigia mama G njoo unihudumie nimezaa na DeepPond 😀😀😀😀
 
Imagine, mwalim kabisa!
Shame
Kwani mwalimu sio mwanamke kama mwanamke mwengine atayetamani naye kuitwa mrs jamaa? Shida sio ualimu, shida kila mwanamke ambaye ni mchepuko huwa anatamani kuwa mke kama aliyemkuta! Na ndo maana visa haviishi kwa hao michepuko wenu, kwa waganga hawatulii wawapumbaze hadi muwakane watoto wenu wa ndoa,....huyu shemejiye DeepPond anaonekana shida yake avuruge hadi waachane na mke yeye ndo aolewe na ndio maana aliona kakomesha jamaa kukatwa ela kubwa akaridhika akahisi kutakuwa na amani na jamaa ataendelea naye kwakuwa hakuna kelele za matunzo, jamaa kakata mahusiano anaona ampelekee watoto ili avuruge zaidi mkewe ajue waachane labda jamaa amrudie mchepuko na hapo kwa waganga kaenda saana hajapata suluhu....nyie wanaume mnayatafutaga wenyewe
 
Yaani mwanamke haoni umuhimu wa kuwa na watoto? Huyo atakuwa ni kichaa kabisa.
Kuna mpuuzi mmoja ananiambia masuala ya mtoto lakini hataki kuleta nyaraka muhimu za mtoto nimfungulie akaunti na bima ya afya ila anataka pesa kwa ajili ya ada ya shule.
Namwona kama punguani, ndo sampling ya huyo mwalimu.
Ndo ivo keshahesabu naye ni mke, kwani mkeo huwa anahitaji kutoa nyaraka gani ndo uhudumie watoto hahahaaa mnayatafuta wenyewe....siku bado anakuletea mwana getini kwako
 
Ila kwa yule mchepuko wako hutaki kutoka pamoja na kukufanyia majaribio ya kukufuata adi kwako kwenye mwembe sjui ilikuwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafikiri mkizaa si ndo siku iyo kumpigia mama G njoo unihudumie nimezaa na DeepPond [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yule nikijichanganya kumzalisha nmekwisha[emoji1787]
 
Kwani mwalimu sio mwanamke kama mwanamke mwengine atayetamani naye kuitwa mrs jamaa? Shida sio ualimu, shida kila mwanamke ambaye ni mchepuko huwa anatamani kuwa mke kama aliyemkuta! Na ndo maana visa haviishi kwa hao michepuko wenu, kwa waganga hawatulii wawapumbaze hadi muwakane watoto wenu wa ndoa,....huyu shemejiye DeepPond anaonekana shida yake avuruge hadi waachane na mke yeye ndo aolewe na ndio maana aliona kakomesha jamaa kukatwa ela kubwa akaridhika akahisi kutakuwa na amani na jamaa ataendelea naye kwakuwa hakuna kelele za matunzo, jamaa kakata mahusiano anaona ampelekee watoto ili avuruge zaidi mkewe ajue waachane labda jamaa amrudie mchepuko na hapo kwa waganga kaenda saana hajapata suluhu....nyie wanaume mnayatafutaga wenyewe
Kiukweli wanaume wengi tunaponzwa na nyege
 
Back
Top Bottom