Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Unajua kuna kitu nimegundua asilimia kubwa wanawake wanachangia kutelekezewa watoto hapo sijaona kosa la jamaa hila ni huyo mwanamke anatumia nguvu kubwa kufanya jamaa amtelekeze hii Mimi imenikuta kuna demu kanitangazia nimekataa mtoto na matusi ya nguoni juu
 
Sometimes mnalaumugi hawa wanawake tu hata kwa makosa ya chululuu zenu.... Men you gaa yo family already, Then instead of focusing on caring of your family and future unaanza kutangatanga tena nje. Okay no problem you decided to be a hoe basi tumia kinga au acha kumwagia mwagia ndani kama mpumbavu... So sad unakuta mtu kama huyu ndo tunaekewa awe viongozi fulani aongoze vichwa zaidi ya vitano wakati hata kichwa chake cha chululuu kimemshinda.

Muambie huyo jamaa hayo ndo matokeo ya kuendekeza hamu za kimwili.
Yaani wanamlaumu binti lakini huyo jamaa ni mpumbavu wa kwanza.
 
Huyo binti kakataa 10-20 per day alafu anaenda kuchekelea 150K kwa mwezi, ni maajabu.

Binti hana akili,nia yake ilikua ni kumkomoa jamaa.

Mtaani kuna binti mwingine alikataa laki 3 kwa mwezi kaishia kuambulia 50k ya ustawi wa jamii[emoji23][emoji23]

Hawa mabinti mnao watongoza angalieni utimamu wa akili zao kwanza
 
Leo asbh nashangaa jamaa ananipigia simu Yuko getini kwangu anashida, ananiomba Mara Moja. Nmeamka natoka nje kumskiliza namkuta jamaa kabeba Watoto wake wawili mapacha anasema yule mwalimu kamtelekezea hawa Watoto mlangoni kwake alfajiri anadai maisha ni magumu Sana, hawezi Tena kuendelea kulea hawa Watoto peke Yake.

Nikamuulza jamaa kwani ile pesa waliyokua wakukakata kazini na kumuingiza binti kwny account yake ilisitishwa? Akamjibu "hapana bado nakatwa, anaingiziwa binti". Wote tukabaki na mshangao inakuaje binti anafanya kitendo kama hiki.

Hatua nilizochukua,
Nikamshaur jamaa Kwanza Hawa Watoto wake wabaki apa kwangu, MKE wangu atawaangalia. Kisha mimi nikalitolee ripoti uongozi wa mtaa au polisi na yeye akalitolee taarifa kwa maboss wake uko kazini kwake.

Upande wangu nmeshatekeleza suala la taarifa, mwanamke kapigiwa sana na simu yake haipatkani mpk Sasa, na kazini kwake tumetafuta hayupo, simu tumepiga mpk tumechoka.

Maswali nilobaki nayo kichwani zaidi Ni utimamu wa akili za huyu mwanamke.[emoji848]

Kwa maana alililia matunzo ya Watoto anayopewa hayatoshi mpaka akapigania mwanaume amekatwa posho yake kule kazini kwake 150,000 KILA mwezi kwa lazima ili kugharamia matunzo ya watoto na yeye akalifurahia sana Hilo, Tena kwa ngebe kabisa.

Imekuaje sahivi analeta pigo za kutupiana Watoto wachanga vibarazani, Tena alfajiri kabisa na mvua hizi zinazonyesha za masika.

WAKUU KAMA KUNA LA KUSHAURI, nawakaribisheni NI RUKSA,

ILA MPAKA JIONI HII NMERUD NYUMBANI KWANGU NMEKUTA WATOTO WA JAMAA WAKO SALAMA SALMINI MIKONONI MWA MKE WANGU MAMA G[emoji120]

Nawasilisha
Jamaa hana akili anatombaje mwalimu bila kondomu waalimu mzunguko wao wa kuzaa ni chap ukimwaga inajibu😂😂😂 apambane sana yaani akomae watoto wakue ila sirudie kula hivi viwalimu
 
Binti hana akili,nia yake ilikua ni kumkomoa jamaa.

Mtaani kuna binti mwingine alikataa laki 3 kwa mwezi kaishia kuambulia 50k ya ustawi wa jamii[emoji23][emoji23]

Hawa mabinti mnao watongoza angalieni utimamu wa akili zao kwanza
Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.

DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
 
Back
Top Bottom