The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Mkuu ningekuona upo sahihi ungetuambia wanaume tutulie kwenye mahusiano yetu au tutumie kinga.Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.
DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Mwanamke ni kiumbe kinaendeshwa na hisia zaidi, huyo jamaa ni mpumbavu sana