The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Mkuu ningekuona upo sahihi ungetuambia wanaume tutulie kwenye mahusiano yetu au tutumie kinga.Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.
DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Hilo ni la muhimu pia ila wengine wanafanyiwa na wenza wao wa kawaida sio michepuko.Mkuu ningekuona upo sahihi ungetuambia wanaume tutulie kwenye mahusiano yetu au tutumie kinga.
Mwanamke ni kiumbe kinaendeshwa na hisia zaidi, huyo jamaa ni mpumbavu sana
Nakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.
DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Yaani hapa sijui kama Mke wake atavumilia, Halafu kuna mtu anakuambia hilo si ishu kwa mwanaume. Yaani aliyeturoga kwamba mwanaume akiwa mzinz si ishu ila ni kwa mwanamke alituweza.Umalaya haujawahi kuwa salama kwa mwanadamu...Ndoa hakuna wale watoto wa mwanzo kwa mke wa ndoa wajiandae kwa mawazi ,huyo mwingine ataishi maisha ya hovyo mpaka awe mkubwa.
Yote hata yamesababishwa na jinga moja mwanaume..
Sawa lakini kuna muda mnatumia nguvu za ziada kututeka.Sema na nyie muache kuzurura na vizipu vyenu vikiwa wazi huko nje,mnajitafutia matatizo kama ya mtoa mada
Tamaa haziwahi kuwa salama ...Ndoa umejenga mda mrefu ila kosa dogo tu basi linakugharimu.Yaani hapa sijui kama Mke wake atavumilia, Halafu kuna mtu anakuambia hilo si ishu kwa mwanaume. Yaani aliyeturoga kwamba mwanaume akiwa mzinz si ishu ila ni kwa mwanamke alituweza.
Mpumbavu wa kwanza ni huyo jamaa mpaka nyumba ya Mke wako unamuonyesha mchepuko
Ha ha ha....kwaiyo Kuna taaluma nyngn kunasa mimba zinachelewa?[emoji2]Jamaa hana akili anatombaje mwalimu bila kondomu waalimu mzunguko wao wa kuzaa ni chap ukimwaga inajibu[emoji23][emoji23][emoji23] apambane sana yaani akomae watoto wakue ila sirudie kula hivi viwalimu
Bora uwaambie, nilichogundua ustawi wa jamii mwanaume ukiwa muwazi hawana noma kabisaNakaziaaa kaangaika kote huko kutafuta punguzo.
DADA ZANGU, Mwanaume kama anajitoa kuhudumia na unajua hali yake ya kiuchumi sio vizuri kupelekana ustawi wa jamii. Wengi wana huu ukichaa waache madhara ni makubwa kuliko faida.
Hawana shida ukishaeleweka, kuna ke wengine wanawapeleka wenza wao ustawi ili wawakomoe matokeo yake ndio kama hayo.Bora uwaambie, nilichogundua ustawi wa jamii mwanaume ukiwa muwazi hawana noma kabisa
Aisee jamaa alibugi Sana mkuu, nadhan ndo Ile wanasema penzi kitovu Cha uzembeYaani hapa sijui kama Mke wake atavumilia, Halafu kuna mtu anakuambia hilo si ishu kwa mwanaume. Yaani aliyeturoga kwamba mwanaume akiwa mzinz si ishu ila ni kwa mwanamke alituweza.
Mpumbavu wa kwanza ni huyo jamaa mpaka nyumba ya Mke wako unamuonyesha mchepuko