Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Aisee
 
Haya mambo yaskie tu ila usiombe yakukute lakin mwanamke mwenye akili timamu hawez kutelekeza watoto wake wakuwazaa mwenyew tena wadogo huo ni upumbavu tena wakiwango cha rami.
Miinachoona jamaa awachukue hao watoto atafute ndugu wakaribu aongee nae amsaidie kuwaangalia watoto kwa muda huku akipambana kuweka maisha sawa nahuo ndo uwe mwisho wa yeye na huyo mwanamke ikiwezekana akate mawasiliano kabsa huyo mwanamke asimpate jamaa Alafu jamaa apambane sana juu ya hao watoto kuwalea huku akipewa msaada wa uangalizi wa watoto na ndugu wa kike naamini mungu hamtupi mjawake hao watoto watakuwa tu mungu yupo na atawaongoza mbaka yeye mwenyew atashangaa na watoto watakuwa wakubwa alafu tutaona huyo mwanamke mwisho wasiku itakuaje Ny*ko zake
 
Ila bro kwa hapa jamaa yako ni mkandarasi na anafanya kazi serikalini umetupiga kamba mkandarasi kwa kingereza ni contractor sasa inakuwaje aajiriwe tena,[emoji848][emoji848]
 
Akome kuzalisha hovyo hovyo kama kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…