Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Binti ndiye nwenye matatizo, kwanini ajitegeshe mimba huku akijua kuwa mwanamme anafamilia.
Kwani huyo Jamaa mwenye family alilalamika wapi kwamba anabakwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti ndiye nwenye matatizo, kwanini ajitegeshe mimba huku akijua kuwa mwanamme anafamilia.
Apeleke watoto KWA wazazi wake kama wazazi wanaeleweka, awawekee mdada wa kaz I awahudumie ,avunje aina zote za mawasiliano, aende ustawi aeleze apewe haki ya malezi,
Maana wanawake ni wachawi sana,usikute anapima upepo aongezewe hela
Unafurahia unadhani mazuri?
Ha ha ha....
Kuna mwalimu wa kizazi hiki ana utimamu wa akili
Maswali nilobaki nayo kichwani zaidi Ni utimamu wa akili za huyu mwanamke.
Tatizo lipo hapa [emoji115][emoji115]
Kuna mwanamke mmoja kazaa na jamaa; anadai matunzo na kupewa ila hataki mwanaume amuone mtoto kwa kisingizio kwamba mwanaume hajaenda nyumbani kwa mwanamke kukabidhiwa mtoto rasmi.
Hataki hata kumuonyesha kadi ya mtoto wala tangazo la kuzaliwa, ila matunzo ya mtoto anataka.
Kuna tabia unaweza ukadhani ni mimba inasababisha lakini hapana.
Kuna wanawake wana tabia za mauaji kwa watoto wao.
Hata kama wazazi au mzazi ana makosa, mtoto hapaswi kuingizwa kwenye machafuko baina ya wazazi.
Sio mshari tu, Bali ana dalili zote za changamoto ya akili, "uwezo wa kufikiri" ,kwa aliye mzima angekuwa mtu wa kushukuru kupangishiwa nyumba nzima na angekuwa mzvumilivu ili mume wake ajipange awe sawa kama awali.Duh! Kimoyomoyo nikajua huyu madam Ni mshari Sana
Mkuu unataka kusema walimu wa kizazi hiki ni chenga??
Nadhani ni tabia ya mtu binfasi haipaswi kujumuisha walimu wote, na sio kada ya Ualimu tu bali kwa kada zote. Kumbuka kale kamsemo ka "watu wa hovyo", "wanavyojiita" kuwa ukitaka "waifu" material basi oa MwalimuKuna mwalimu wa kizazi hiki ana utimamu wa akili
Kaka kwanza Heri ya Mwaka mpya.
Pili kuna jambo la msingi sana nataka nikupe umsaidie jamaa. Njoo WhatsApp 0693054540. very Urgently
Pole sana ndugu Dotto Magari.Unajua kuna kitu nimegundua asilimia kubwa wanawake wanachangia kutelekezewa watoto hapo sijaona kosa la jamaa hila ni huyo mwanamke anatumia nguvu kubwa kufanya jamaa amtelekeze hii Mimi imenikuta kuna demu kanitangazia nimekataa mtoto na matusi ya nguoni juu
Na inawezekana katomba jini kabisa, linataka limkaushe kabisa abaki na zeroNdio shida ya mwafrika, kutombatomba hovyo
Kwanini wakati wazazi wao wapoMwambie atafute mtu tofauti na ndugu amlele watoto au awapeleke kituo Cha yatime awalipe pesa wamlelee watoto
Hasa ukiendekeza nyegeHawa viumbe ni hatari sana tutumie akili kubwa kuishi nao vinginevyo tutakufa mapema.